Tofauti kati ya CCM na CHADEMA hii hapa

Tofauti kati ya CCM na CHADEMA hii hapa

Naona nondo upo kasi sana na chama chenu cha kiislamu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kikristo hiki
Screenshot_20200401-231213.jpg
 
maandishi kama haya ni ushahidi wa uvumilivu wetu ili likiripuka tusilaumiwe
Chama pekee nchi hii kilikuwa kina uwezo wakulipuka kilikuwa CUF. Chadema ni wepesi, CCM ni wazee wa vyombo vya dola, ACT ni CUF Zanzibar na wengine ni wapiga kelele. Kisiasa hii Nchi ipo ipo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom