...lol...kiapo cha nini tena yarabi? mie msema kweli daima bana, wengi waliomstari wa mbele (incl wakili klorokwini)
kukemea tabia hiyo, wengi wao ndio walio mstari wa mbele kuwaficha wenza wao yanayohusiana na simu zao...
yes i said it, otherwise...kwanini maugomvi mengi ya kizazi hiki yanahusisha matumizi ya mobile fones?
...aheri ya nusu shari bana, mie yangu nai lock 24/7...mambo ya kununiwa kisa nimepokea sms yenye xoxo, au kwanini nimejibu "me too...!," hapana kwa afya ya akili yangu.