Today on history: Rais wa Zaire Mobutu Seseko alifanya maamuzi ambayo yaliishangaza dunia

Mobutu alikuwa ana urafiki mkubwa na CIA na ikulu ya Washington.

Sema tu alikuwa haamini watu wake wa karibu na ndio maana haishangazi alikuwa akisafiri kwenda nje ya nchi aliambatana na Mkuu wa shirika la ujasusi, mkuu wa majeshi, igp na funguo za maghala ya silaha zilikuwa kwenye briefcase yake
Na bado akapinduliwa
 
Sawa umeeleza vizuri sana, lakini kamwe huwezi kuiondoa America kwenye kifo cha Savimbi, na hata alipouawa aliitwa na wale wateja zake wakubwa (wawakilishi wa makampuni yaliyokuwa yakinunua almasi yake ambayo ni makampuni ya kimarekani) wakutane mahali fulani walipokuwa wanakuta siku zote wamlipe pesa zake na huyo Savimbi kama kawaida yake kuhusu pesa inasemwa alikuwa akienda peke yake kukutana nao bila walinzi wake na hilo lilikuwa kosa kubwa kwake kwani hakujua kama siku hiyo alikuwa kishawekewa mtego ili njiani auawe, kama utakumbuka aliuawa akiwa peke yake, sio jambo la kawaida kiongozi kama yeye aliyekuwa na walinzi afe peke yake--- huoni hapo kuna sura ya njama kutoka kwa watu (Waamerika) waliokuwa wanaaminiana kwa muda mrefu ?!!, auawe na Angola, South africa etc lakini huwezi kuondoa kuhusika kupanga njama (master minding) kwa America (utawala wa Clinton) juu ya kifo cha Savimbi.
Savimbi aliuliwa mwaka 2002. Mbona Rais alikuwa George Bush. Clinton kaingiaje hapo?
 
Hahaaaa wakati leo hii tu dunia ina watu bil 7+,hii ni chai ya moto
Na mwaka 1973 population ya Dunia ilikuwa 4bn
Unaweza kujiongeza kwa kujisomea badala ya kubisha tu
FACT kuwa walioangalia pambano walikuwa 1BN duniani kote.
Hata ukibisha huwezi kupinga ukweli
 
Mkuu unamzungumzia Savimbi kama mgambo fulani yaani kiongozi wa Guerilla war atembee peke yake? Kumbuka kuwa Serikali ilitangaza kifo cha Savimbi zaidi ya mara kumi na tano wakikaa kidogo anajitokeza kwa kuua Raia...
Mapigano makali ya mwaka 1997 mpaka 1999 yalipunguza idadi kubwa sana ya Wanajeshi wake hasa kikosi cha Ulinzi wake ndio maana majeshi ya SA waliweza kumuua kwa kumpiga risasi nyingi sana pamoja na idadi ndogo ya wanajeshi aliokua nao nakumbuka Serikali ya Angola walilaumiwa kwa kuonyesha ile picha yake na walifanya vile ili kuaminisha jamii kwa sababu walitangaza mara kadhaa ila zilikua taarifa za uongo...na Serikali ya Dos Santos ilikua ya kwanza kutoa hiyo taarifa Feb,2022 kifo cha Savimbi nikiendelea kuandika nakumbuka zaidi maana nilikuwepo maeneo ya kusini na nilikua naifatilia sana Angola ili nikatafute fursa huko hata kabla daraja la kuunganisha Namibia na Zambia halijajengwa...nilipita Livingstone pale kwa Mtumbwi na ilikua jioni...
2022 ? Mmh chai hii
 
2002 jiongeze faza mtu akikosea usiwe kama kuku wa kisasa...
Kumbuka kwamba hapo ulikua unabishana na mtu Kwa point na Sisi wasomaji tunafatilia kujua Nani yupo sahihi. Sasa kwenye mijadala makini point ndogo Sana inakutoa knock out.

Ndicho kilichotokea.

Uwe unapitia ulichoandika kabla ya kupost mkuu. Hata hivo samahani ntakua najiongeza cku zingine
 
Kumbuka kwamba hapo ulikua unabishana na mtu Kwa point na Sisi wasomaji tunafatilia kujua Nani yupo sahihi. Sasa kwenye mijadala makini point ndogo Sana inakutoa knock out.

Ndicho kilichotokea.

Uwe unapitia ulichoandika kabla ya kupost mkuu. Hata hivo samahani ntakua najiongeza cku zingine
Umeona nimeandika juu 1997 mpaka 1999 sibishani nilikua namwelekeza naisha niliyopita huko kwa hiyo wewe msomaji hujui hata kipindi cha kina Savimbi unasema chai 2022 kwa hiyo Savimbi kafa huo mwaka?
 
Hamna! Labda useme waasi lakini sio CIA.
Fahamu CIA wangetaka kumla kichwa, angeliwa hata akiwa ikulu.
 
Back
Top Bottom