Asante sana Bestito may God grant me all your wishes....Am humbled kwakweli Yaani nimekuweka kiporo na mimi nasubiri Birthday yako nikuanzishie siredi kabisaaaa we nikumbushe tarehe tu...
ondoa shaka nitakwambia tarehe kwani ni bado sana
heri ya mwaka mpya mkuu