Today is my Bithday HBD Mimi

Today is my Bithday HBD Mimi

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,645
Wana JF na wana MMU.....

Nashukuru Mungu kunijalia mwaka mwingine uliotimilika na pia nashuku JF kama kisima cha habari na Burudani pia hasa niwapo nje ya Tanzania mara nyingi najisikia kama niko nyumbani vile nawashukuru sana... mwaka jana niliahidi kuichangia JF lakini this time nitfanya hivyo.

Asante MUNGU asante wana JF kwa changamoto na michango mbali mbali tuko pamoja sana.
 
happy birthday to u
happy birthday to u
happy birthday dear Mu-sir
happy birthday to u

how old are u now?
 
Last edited by a moderator:
Kila hatua uivutayo, ikupeleke kwenye njia ya kufanikiwa.
^^
 
Back
Top Bottom