Today is my Birthday

Happy birthday kadoda11.

LONG LIFE!!

Remember we love you!!!
 
Last edited by a moderator:
Hap b.day to yuuuuuuuuu
hap b.day to yuuuuuuuuu
hap b.day dear kadodaaaa
hap b.day to yuuuuuuuuuuu.
May god give you wat u deserve..
 
Hap b.day to yuuuuuuuuu
hap b.day to yuuuuuuuuu
hap b.day dear kadodaaaa
hap b.day to yuuuuuuuuuuu.
May god give you wat u deserve..

byb sac nimekupata vizuri sana.asante.
 
Last edited by a moderator:

Daa, nashkuru nimepata member tuliyezaliwa Siku moja.Happy birthday dear.
 
Last edited by a moderator:
Vip Jf walikupongeza maana mie kidogo nilikuwa busy nakulitumikia taifa hamadi nakutana na sms ya kunipongeza kutoka kwao.Ha ha haaaa ikabidi nami nimkumbushe mama Yangu maana nae alikuwa keshasahau.
 
Happy birthday brother . Always remember your Creator. Have a long life
 
Heri na baraka tele pia maisha marefu pia mungu yuko pamoja nawe
 
Vip Jf walikupongeza maana mie kidogo nilikuwa busy nakulitumikia taifa hamadi nakutana na sms ya kunipongeza kutoka kwao.Ha ha haaaa ikabidi nami nimkumbushe mama Yangu maana nae alikuwa keshasahau.
mbalapala acha tu ndg. yangu,nimejisikia faraja sana kwa kupokea birthday greetings & wishes toka kwa wana MMU na wanajf kwa ujumla.HBD.
 
Last edited by a moderator:
mbota , angelita , chwechinyong , Mamndenyi na MankaM kwa kweli sina cha kuwalipa kwa kuchukua sekunde/dakika zetu chache hapa jf kunitakia salamu njema za siku yangu ya kuzaliwa kwangu.ninawashukuru sana na mungu awabariki.asanteni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…