Today is MY Birthday...

It's your birthday Manyanza! Party, eat cake, open presents, blow out candles, and make a wish !
 
thanks for the spiritual words

mh thanks but hiyo time ya hayo maandalizi??? ndo ishu anyway thanx again

It's your birthday Manyanza! Party, eat cake, open presents, blow out candles, and make a wish !
 
Pamoja na kuchakachua umri Manyanza na IDs zako zote ....Long live broda

aaaah mbona tunaumbuana ngoja niseme kwa niaba ya ID zangu nyingine
Happy Birthday
Fellow Tablet1
King Julien
Jerusalem...

siwezi kuendelea kwa sababu za Kiintelejensia
 
PJ, nothing to say my uncle( nikiangalia avatar yako) ni sawa na uncle wangu
Pamoja sana, thanks.
24 years definetely

Oopppss i thought u r ........let me end up here
Congrats my young bro and may God be with you and bless you a lots to live the same life as ur and be wise as you are.
happy Birthday Brother
 
Dah! Alafu we jana ka ulitugea notification vile, cjui nini kilinipitia adi nikajisahau!! Anyways, HAPPY BIRTHDAY kijana, furaha na amani vitawale ktk maisha yako.
 
hahaa nakumbuka, ni kwenye ile thread ya Binamu anataka kunichukulia kitoto changu.. wakati yeye ni 27 na mimi ni 24...
umekumbuka???

Dah! Alafu we jana ka ulitugea notification vile, cjui nini kilinipitia adi nikajisahau!! Anyways, HAPPY BIRTHDAY kijana, furaha na amani vitawale ktk maisha yako.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…