Tobaaa! Kumbe lulu alihudhuria tuzo za kili!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
*kumbe jirani yangu TUNAE ISHINAYE pale Mbagala Kiburugwa, dada lulu ramadhani mohamedi alihudhulia *tuzo za kilimanjaro "kiliawards' aseeeeeee mtoto matata yule!
 
Unajua maana ya MBA- GALA.? yaani fangasi wa kichwani wamejaa gala zima..watu wa mwanzo wa huko walikuwa na mba wengi kichwani..hadi wanakuwa na mawenge kama wewe!
 
Headline za magazeti ya global publishers zatinga JF!
 
Unajua maana ya MBA- GALA.? yaani fangasi wa kichwani wamejaa gala zima..watu wa mwanzo wa huko walikuwa na mba wengi kichwani..hadi wanakuwa na mawenge kama wewe!
asnte nilikuwa sijajua bwana!
 
Back
Top Bottom