Toa tathmini kuhusu katuni hii ya GADO kuhusu hatma ya EAC.!

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
24,226
2,000
094ef994c3cfa4643f4cbc92c313e925.jpg

Mseveni.... Mwenyekiti wa jumuiya amelala usingizi hana habari.

Magufuli....ambaye ndio mdau mkuu wa EAC kang'oa tairi...

Kagame....ambaye anaonekana yuko makini sana kuona mbele bila shaka kwa maslahi ya baadae. Anao wategemea Mseveni na Magufuli hawaeleweki.

Kurunzinza....ndio kabisa hana muda na jumuiya yeye anaunda utawala wake wa kifalme.

Kenyatta.....anajaribu kuokoa EAC isipotee zaidi ila kazidiwa anakaribia kuachia mkia.!
 

Sam bm

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
285
250
Hii inamaana kwamba marais(viongozi)wa EAC,kila mmoja wao ana mwelekeo wake ktk jumuiya hii
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,945
2,000
Yule mfalme mwenye suit ya blue ni Nani? Anataka direction yake kwa mustakabali mzima wa EA, akisaidiwa na mvuta mkia mwenywe jicho la tatu.
Museveni ndiye mwenyekiti na Kagame mwenye suit nyeusi anamfuata lakini mwenye shati la kijani hataki na ameamua kuondoka na tairi tuone kama mtafika bila mimi.
 

Oii

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
3,775
2,000
Hiyo picture inaonyesha Magufuli anavolisongesha, iyo punda inaangalia opposite direction, viongozi wengine hawajielewi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom