mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,342
- 57,165
Wapo jangwani. Hawajui hata wanapoelekea.alafu wametibuana na gari wamevunja.
KUFIKA HUKO WAENDAKO NI MAJALIWA.
KUFIKA HUKO WAENDAKO NI MAJALIWA.
Hapana salva kiir. Kaamua abaki na mkia. Hyo atakuwa pierreTanzania, Rwanda na Uganda wanaelekea kule,Kenya na South Sudan,wanaenda pande ingine.C ha ajabu ni kwanza,mbona Salva kitu,kamvalisha kama mfalme?
Nadhani ameenda kuziba pacha ya corruption na ufisadi...Huyo jamaa aliyeng'oa gurudumu ni mkorofi sana.
Utaelewaje maana wakati una akili za kuvukia barabara tu?
Fatilia ishu ya mifugo kupigwa mnada na vifaranga kupigwa moto. utajua kwa nini huyo jamaa kaichora Tz hivyoSasa mbona Tanzania imeng'oa gurudumu
Aliyevaa kama mfalme ni rais wetu Uhuru Muigai Wa Kenyatta. Nkurunzinza ndo anavuta mkia. Gado huwa hamchori Salva Kiir bila lile likofia lake la kihuni. Inaamanisha rais Uhuru Kenyatta na Kenya ndo walopoteza ufahamu kabisa kwenye maswala ya E.A? Gado bana.Hapana salva kiir. Kaamua abaki na mkia. Hyo atakuwa pierre
Mkuu hapo nkrunziza hayupoAliyevaa kama mfalme ni rais wetu Uhuru Muigai Wa Kenyatta. Nkurunzinza ndo anavuta mkia. Gado huwa hamchori Salva Kiir bila lile likofia lake la kihuni. Inaamanisha rais Uhuru Kenyatta na Kenya ndo walopoteza ufahamu kabisa kwenye maswala ya E.A? Gado bana.
Kweli mjinga mimi. Anayevuta mkia atakuwa ni Salva Kiir? Dah naona Gado sasa kaanza tabia za kutukanganya kama Kipanya.Mkuu hapo nkrunziza hayupo
Hapo bado mmoja. Labda walishamshusha.Kweli mjinga mimi. Anayevuta mkia atakuwa ni Salva Kiir? Dah naona Gado sasa kaanza tabia za kutukanganya kama Kipanya.