Toa tathimini yako kwa hawa miss temeke 2012

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884

Esther Albert.

Flora Kazungu.

Jesca Haule.

Khadija Kombo.
Flaviana Maeda.

<tbody>
</tbody>

Elizabeth Peter.

Agness Goodluck.

Angela Gasper.

Elizabeth Peter.

Elizabeth Boniface.


mia
 
kwa kweli hapa sina comment
heheheh au unataka washindanisha na Ilala,Kinondoni?
 
Maeda yupo safi sana.Naona ni picture tu.Yaani ungefanikiwa kuona picha yake full ungekubali
 
sasa hivi vi passport size. weka fulllu
Mi nlitaka utathimini sura. je hapa kuna wa kufika miss world?. Mi nafikiri rushwa ilitumika kuwateua. mbona mi nawaona kama wakati umewatupa mkono?. mia
 
Dah kama ma miss ndio hawa TMK hakuna wasichana wazuri!!
nchi inaendelea kupoteza katika nyanja zote.
Baada ya kukosa viongozi wazuri sasa naona hata suala la warembo nalo linaonyesha scarcity inaongezeka!
 

Esther Albert.

Flora Kazungu.

Jesca Haule.

Khadija Kombo.
Flaviana Maeda.

<tbody>
</tbody>

Elizabeth Peter.

Agness Goodluck.

Angela Gasper.

Elizabeth Peter.

Elizabeth Boniface.


mia

Du hawa mademu wamejipodoa utadhani maiti, hapo lazima wametembeza sana chini mpaka kufikia hapo walipofika maana hamna mwenye sifa ya kuwa miss hapo.
 
Back
Top Bottom