TOA TAARIFA ZA NCHI YA Chit-Chat UELEWEKE!!

Mi sioti hata kubadili au kuwa na ID ya pili hii moja nimekaa nayo toka najiunga JF nikibadili napoteza marafiki wote Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Arushaone ni kweli bwana wajiseme tu white party n.k mbona mie nilibadili Ma doudou nikawapa taarifa
 
Mimi bado nafukuzia dili fulani ambalo linaweza kunifanya supa staa wa East & Central Africa. .... Nikiwin lazima nijivue gamba wallah!

Cc Smile!
 
Last edited by a moderator:
Breaking of the news.. ....party nyeupe ipo kama haipo kwa sababu mabaunsa wote wamehamishiwa kusini kukabiliana na nguvu ya umma!!!


na asithubutu mtu kusema kuwa Babu kajimilikisha mikoba ya yule mtabiri wa nyota!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…