MUNGU AWAREHEMUMNATUPENDA SANA NA DAMU ZENU ZITAZAA MATUNDA YA TAIFA JIPYA LENYE UHURU NA HAKI NA KUJALIANA KWA KWELI
Ndugu wana JF nimeona nianzishe thread hii rasmi kwa ajili ya kutoa rambirambi zetu kwa marehemu wa tukio la maandamano ya Arusha. Ninaomba tusiifanye thread hii kuwa ya kutolea vijembe vya kisiasa ila iwe ni kwa yeyote mwenye kujisikia kusema neno kwa marehemu na wafiwa.
Tunajua marehemu wataagwa kitaifa Januari 12 kwenye viwanja vya NMC Arusha lakini kwa tulio mbali tunaweza kujumika nao kiroho kwa njia hii.
Marehemu watakaoagwa siku hiyo ni;
Ismail Omary (40) wa kijiji cha Laki Tatu kata ya USA River Arusha, na
Denis Michael Ngowi (30) wa Rombo Mkuu mkoani Kilimanjaro.
Naomba kuwasilisha.
Many heroes fall during battle
this fight for freedom often costs
these bodies of men and women before us
is the true cost of freedom
but they will not be forgotten
we honor those souls that slip away
and know that they've become angels
In heaven, on this day
The memory of them lives on
as we sleep we see their face
the dreams seem so very real
we often imagine their warm embrace
God has given them free reign
to whisper gently to the trees
to glide effortlessly among the clouds
and dry your tears with a breeze
So as long as we are alive
we will hold them in our hearts
and as long as we can breathe
our heroes will never be apart
So as we bury you with honor
we will grieve, then heal & pray
and even though we'll miss you you
we'll be reunited in heaven one day
Mkakati wa Kusaidia WanaArusha .
Tunapenda kuwafahamisha kwamba FOS Imeanzisha Mkakati wa Kuchangia
WanaArusha waliopata Shida kwenye Maandamano ya Wafuasi wa CHADEMA na
Viongozi wao .
Kwa sasa namba zitakazotumika kwa michango ni
ZAP – 0786 806028
MPESA – 0766334049