Toa neno moja tu kwa picha hii

Toa neno moja tu kwa picha hii

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
527
Reaction score
596
Mungu awabariki
 

Attachments

  • 1442745884889.jpg
    1442745884889.jpg
    39.4 KB · Views: 3,441
Hivi makufuli amewahi kupiga picha na mke wake?
 
'Ooh I love you Mr.President! May God give you strength to pass through this challenging time.I will always stand by you dear!...Cherry wenye wivu wajinyonge!'
 
Haisaidii kwenye profile ya utendaji kazi. Jitazame toka uanze kupga picha na kuweka kila mahali boss wako kakuongezea mshahara? Mmeishiwa
Inasaidia....kama familia imekushinda kuiweka pamoja utaweza nchi.
Magufuli hata kwenye kujitambulisha hakuja na wanawe. Mke wake kampotezea, nchi ataiweza kweli?
 
Hana mke kihelehele na mafia kama huyo wa El. Kila kazi na utaratibu. Wakati unakuja ataitwa First lady, na majukumu ya kiserikal atajiingza.
....Ni ishara njema ya mabadiliko mwenyezi mungu ayalinde mabadiliko na rehema zake juu ya rais wetu EDO na MAMA
 
Hana mke kihelehele na mafia kama huyo wa El. Kila kazi na utaratibu. Wakati unakuja ataitwa First lady, na majukumu ya kiserikal atajiingza.

Mama Lowassa anatuonesha ni jinsi gani raisi wetu atakuwa kwenye mikono salama mara baada ya kutoka ofisini kuijenga Tanzania mpya chini ya UKAWA. Ni uthibitisho tosha wa kupungua kwa safari za raisi nje ya nchi kwenda kupunguza msongo wa mawazo mama akiwa ameachwa nyumbani.

Halafu uniambie hata ikibidi kusafiri ndiyo utamuacha nyumbani mke wa sampuli hii.?

2015 IKULU YAO TU
 
Tuache ushabiki wa kijinga jamani, hapa lazima kuna wajanja wanapiga hii kitu tena mbaya sana. Hichi kizee kuongea tu shida, kwenye sita kwa sita itakuwaje???? Huyu mama lazima atakuwa anapelekewa moto na wajanja.
 
Back
Top Bottom