Toa neno moja tu kwa picha hii

Toa neno moja tu kwa picha hii

Tuache ushabiki wa kijinga jamani, hapa lazima kuna wajanja wanapiga hii kitu tena mbaya sana. Hichi kizee kuongea tu shida, kwenye sita kwa sita itakuwaje???? Huyu mama lazima atakuwa anapelekewa moto na wajanja.

Kwanini tuandikie mate?Nenda kajaribu mziki wa mzee kisha ulete mrejesho..
Acha kuishi kwa nadharia.
 
hiyo kukumbatiana inatusaidia nn sisi wananchi ikulu watapasikia tu na ndo itakua mwisho wao wakukumbatiana watabaki kulaumiana
 
Hongera mama Regina.mwanamke mwerevu ni mlinzi wa mumewe.
 
huyu mama ni mke bora, atakua first lady mwenye hadhi toka aondoke maria nyerere!
 
Hayo siyo mapenzi ya kubahatisha kama makomeo na mkewe.
 
Haisaidii kwenye profile ya utendaji kazi. Jitazame toka uanze kupga picha na kuweka kila mahali boss wako kakuongezea mshahara? Mmeishiwa

Hatuhitaji mshahara kwenye harakati za mabadiriko. Acha upompompo
 
Familia ya rais mwenye mke mmoja anayefahamika italeta unafuu sana kwa nchi yetu... Kikwete kalitia taifa hasara kwa utitiri wa wanawake wake...
Si vizuri tukarudia makosa...!!





sheria ya mtandao








 
Back
Top Bottom