Inasaidia....kama familia imekushinda kuiweka pamoja utaweza nchi.
Magufuli hata kwenye kujitambulisha hakuja na wanawe. Mke wake kampotezea, nchi ataiweza kweli?
Familia ya rais mwenye mke mmoja anayefahamika italeta unafuu sana kwa nchi yetu... Kikwete kalitia taifa hasara kwa utitiri wa wanawake wake...
Si vizuri tukarudia makosa...!!
Kuna marais Tz ambao hata kuwa hugs wake zao imekuwa ni kasheshe maana ni aibu..!!
Kwani hujawahi kuwaona wamekumbatiana?jk na mama s
Tuache ushabiki wa kijinga jamani, hapa lazima kuna wajanja wanapiga hii kitu tena mbaya sana. Hichi kizee kuongea tu shida, kwenye sita kwa sita itakuwaje???? Huyu mama lazima atakuwa anapelekewa moto na wajanja.