2016 ulikuwa mwaka Tumbua,fukuza, kamata wanadaiwa wachochezi, fungua kesi dhidi ya huyu na yule, pamoja na tamaa ya wenyenacho kutakiwa waishi kama mashetani na bila kusahau uvunjifu mkubwa wa katiba na haki za msingi za kiraiaMimi naona neno lililoteka vyombo vingi vya habari, vijiwe, kwenye daladala, bodaboda na sehemu mbalimbali nchini ni "TUMBUA".
Je wewe ni kitu gani kilitawala kichwani mwako.