Toa 'neno moja' linaloweza kuutambulisha mwaka huu 2016.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Mimi naona neno lililoteka vyombo vingi vya habari, vijiwe, kwenye daladala, bodaboda na sehemu mbalimbali nchini ni "TUMBUA".

Je wewe ni kitu gani kilitawala kichwani mwako.
 
Tu
Mimi naona neno lililoteka vyombo vingi vya habari, vijiwe, kwenye daladala, bodaboda na sehemu mbalimbali nchini ni "TUMBUA".

Je wewe ni kitu gani kilitawala kichwani mwako.
2016 ulikuwa mwaka Tumbua,fukuza, kamata wanadaiwa wachochezi, fungua kesi dhidi ya huyu na yule, pamoja na tamaa ya wenyenacho kutakiwa waishi kama mashetani na bila kusahau uvunjifu mkubwa wa katiba na haki za msingi za kiraia
 
Back
Top Bottom