palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,455
You made my evening. ThaxsYaani kama angekuwa Kikwete, wangeandika president wa Bara, United Republic of Tanzania
duuuuuuuuuuuuuuh huyu mkewe shein mfupiiiiiiiiiiiiiii hajagusa chini miguu imeninginia sorry nipo njee ya mada
Mkuu unamdai?Mpiga picha,ukipata nafasi nyingine ya kusogea karibu na huyo jamaa aliyekaa kushoto mwisho mkumbushe aje kulipa madeni yake aliyokopa 2010 chondechonde
You are off side. Hujajibu hoja y a mleta mada. Kujibu swali kabla ya kulielewa ndiko kunawafanya mfeli mtihani na hata baada ya kuchakachua marks watu kama nyie bado mmefeli. Soma hoja ya mleta mada acha kukurupuka.Hii haiondoi ukweli kwamba Zanzibar ni kamkoa ka bara kama ilivyo mafia na hatutakaachia, kama wanajidanganya wajaribu kujitenga waone. Kudhibitisha hilo amepokewa na meya wa mji. Kwa hiyo hata "nchi" yake ina hadhi ya mji!
Naona utata wa jina ndiyo maana wanataka serikali yao. Wangetakiwa waandike Dr. Shein, president, URT, Zanzibar.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
duuuuuuuuuuuuuuh huyu mkewe shein mfupiiiiiiiiiiiiiii hajagusa chini miguu imeninginia sorry nipo njee ya mada