To you my future hubby

Mungu huwa anabariki wanastahili(walio chini) ili apatwe kutukuzwa na kuwashusha waliojuu(successful&disgraceful people) ili watu wajifunze kwao na kumtukuza pia..!
 


tumekuwa brainwashed sana na wanaume warefu sijui nan katudanganya! ningekuwa sijaolewa ningeolewa na mwanaume mfupi ila awe smart!
 

Nimeshindwa hata nijibu nini...
 
tumekuwa brainwashed sana na wanaume warefu sijui nan katudanganya! ningekuwa sijaolewa ningeolewa na mwanaume mfupi ila awe smart!


Hahaha, Mbiti eti mfupi. Hawa warefu wana manjonjo sana ndo maana hata tunawakubali wenyewe. Ile kuwa juu juu kuliko wengine naona hata kama kuna mwanaume mfupi na demu wake, anaweza kuji hisi hisi kiasi mbele ya mrefu..
Lakini ungekuwa na mfupi labda ungetamani mrefu tena..
 
Hahahah..! Hivi vibamia mnaonewa hivi..!
 



hahahahah wanatuchosha na maurefu yao hawana lolote!hahha!huenda ningetaman! tunasahau sana kuangalia IQ za wanaume!janaume toka asbh saa 4 lina cheza pooltbale kuna kazi hapo sasa shogaa!...
 
Flat screen does not affect anything kwenye 6×6 but kibamia has alot of effects when it comes to 6×6
Mimi mwanamke ambae hana chura apite hivi,ewe mwenyezi mungu niepushe na kikombe hicho!!......kwangu chura ndo kila kitu,ndo mpango mzima!
 



hahahahah wanatuchosha na maurefu yao hawana lolote!hahha!huenda ningetaman! tunasahau sana kuangalia IQ za wanaume!janaume toka asbh saa 4 lina cheza pooltbale kuna kazi hapo sasa shogaa!...au linaBET!limetunisha mgongo ova linaangalia vitu vya maaanaaaaa!nachefukwa sana na desgn ya hawa aic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…