Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
- Thread starter
-
- #81
FM Academia ndo wanajua kurusha vizuri...bia moja unarushwa hewani
Muzeeya Driimulaina mutu ya pesa mingi....
Mamaa la waisiledi mutoto ya mulimani
Mudadaa ya Preta... mama ya pesa kama benki kuu
Leo ni zamu ya Belinda Jacob...
Gaga, King'asti, Mwanajamiione,shosti, Ashadii, Afrodenzi, Lizzy, Damie et el....................
Kaeni mkao wa kula, wakati wowote ule ntamrusha mmoja wenu hewani kama FM Academia.
weye lizzy wivu lini utakuisha jamani?Kumbe ehhhh?!Binafsi sijagundua bado kwahiyo niambie katumia kiasi gani?!
dah! nimekuckia My dear Magu, nilibadili ID ili nikupime, kumbe ungali wanitafuta. Ntaku PM soon, lol. Ila naomba untumie dola tano ya Voda kwa M-PESA, lol
Yaani hili jukwaa kweli ni 'JF Shit-Chat'
Kilevi au kitambi?
Kheeeee....embu nitoe kwenye hiyo list haraka.Mambo ya kutumiwa kupata ujiko SITAKI!
Nani anapata ujiko sasa?........Mi nnao wa kutosha.......... Tena we ndo ntakurusha na kiherehere chako. Subiri nilewe!
Weee hata siku moja usinifananishe na watu ambao siko level nao.Umaarufu wake na wangu ni sawa na omo na jiki...TOFAUTISHA!!Kwani wewe wema Sepetu utumiwe kupata umaarufu? Aspirini ni maarufu pia so maarufu plus maarufu equal to maarufu^2
Kama unatumia Tigo sidhani kama mtaendana na Belinda hebu jaribu mwingine.Mh belinda hayuko hivyo...yeye anataka jezi tu...mie ntampelekea wachezaji kumuona kama surprise...halafu mie Voda situmii, natumia tigo...kama unataka ntakupatia tena fasta tuuu...
Wishing you all the best hahaha! umewahi kuusikia wimbo wa 'another one bites the dust'.Lizzy mtoto wa Klm nimevumilia nimeshindwa,toka siku niliyojiunga,uliutekenya mtima wangu,kiukwel moyo wangu umekudondokea,hakika nilitamani uwe blangeti langu lakini haikuwa,kwenye joto nilitamani uwe feni wangu lakn haikuwa,naandika maneno haya nikijua fika utasikia kilio changu cha ndani ambacho nimekitoa kwako na memberz wote wajue. Majbu yote yapitie kwa mwanakamati wa Dodoma{mpwapwa} husninyo. In your love lizzy my future is not in peril.
Aiseeee.....ASANTE SANA!!Wishing you all the best hahaha! umewahi kuusikia wimbo wa 'another one bites the dust'.
Kama unatumia Tigo sidhani kama mtaendana na Belinda hebu jaribu mwingine.
Ukibadili tunaandamana hahaha!Yuuuuu!job tru tru🙂) mambo ya goti hapana kabisaa!!laa airtel,lol
Malugumangu, hii avatar nitaibadilisha soon!..vumilia kdg mkuu
dah! nimekuckia My dear Magu, nilibadili ID ili nikupime, kumbe ungali wanitafuta. Ntaku PM soon, lol. Ila naomba untumie dola tano ya Voda kwa M-PESA, lol
mwanakili hujatulia wewe, naona mwanakamati wa mpwapwa kazi tena sina maana mtoto katoa majibu live bila chenga.Lizzy mtoto wa Klm nimevumilia nimeshindwa,toka siku niliyojiunga,uliutekenya mtima wangu,kiukwel moyo wangu umekudondokea,hakika nilitamani uwe blangeti langu lakini haikuwa,kwenye joto nilitamani uwe feni wangu lakn haikuwa,naandika maneno haya nikijua fika utasikia kilio changu cha ndani ambacho nimekitoa kwako na memberz wote wajue. Majbu yote yapitie kwa mwanakamati wa Dodoma{mpwapwa} husninyo. In your love lizzy my future is not in peril.
omg!!..Nilikuwa sijaona hii kitu!..
Read your PM box and reply me ASAP...
Usibadilishe hii avatar bila ruhusa ya Board of Directors ya JF na uwe na sababu nzito za kufanya hivyo, maana sijui kama kuna avatar nyingine itayoendana na ID yako ya BJ 🙂 ...nadhani umeona mechi ya leo na Wanigeria katika Kombe la dunia la Wanawake kule Germany. Nigeria wamefungwa na Wafaransa 1-0 lakini Nigeria walikuwa na nafasi nzuri za kushinda kama sio kutoa draw.
mwanakili hujatulia wewe, naona mwanakamati wa mpwapwa kazi tena sina maana mtoto katoa majibu live bila chenga.