Even if you want my breath am ready.......
mkuu huyu BelindaJacon ukimuona mwambie jamani ni kikohoziiiiiiiiiiiii
Nataka kumwonesha mwandish katumia busara kias gan kumueleza belinda mashda ya moyo wakeKwahiyo huwezi kuniita pembeni???Mambo ya kutongozana katikati ya Kariakoo siwezi!!!
Kumbe ehhhh?!Binafsi sijagundua bado kwahiyo niambie katumia kiasi gani?!Nataka kumwonesha mwandish katumia busara kias gan kumueleza belinda mashda ya moyo wake
Kheeeee....embu nitoe kwenye hiyo list haraka.Mambo ya kutumiwa kupata ujiko SITAKI!Leo ni zamu ya Belinda Jacob...Gaga, King'asti, Mwanajamiione,shosti, Ashadii, Afrodenzi, Lizzy, Damie et el....................Kaeni mkao wa kula, wakati wowote ule ntamrusha mmoja wenu hewani kama FM Academia.
Kwahiyo huwezi kuniita pembeni???Mambo ya kutongozana katikati ya Kariakoo siwezi!!!
Leo ni zamu ya Belinda Jacob...
Gaga, King'asti, Mwanajamiione,shosti, Ashadii, Afrodenzi, Lizzy, Damie et el....................
Kaeni mkao wa kula, wakati wowote ule ntamrusha mmoja wenu hewani kama FM Academia.
Nani anapata ujiko sasa?........Mi nnao wa kutosha.......... Tena we ndo ntakurusha na kiherehere chako. Subiri nilewe!Kheeeee....embu nitoe kwenye hiyo list haraka.Mambo ya kutumiwa kupata ujiko SITAKI!
Ngoja niiquote na kuiweka hapa....Huchelewi kubadili mawazo ukaidiliti LOLZe folowing yuza sei sank yuu tu Asprin fo dhis yuzifuli posti
Dreamliner (Today)
Leo ni zamu ya Belinda Jacob...
Gaga, King'asti, Mwanajamiione,shosti, Ashadii, Afrodenzi, Lizzy, Damie et el....................
Kaeni mkao wa kula, wakati wowote ule ntamrusha mmoja wenu hewani kama FM Academia.
Hujaona kesharushwa na Paka Jimmy?........ wewe nakuachia nyamayao, preta, wiselady, firstlady, Husninyo na lilyflowerMbona umemsahau Miss Judith?
Jaribu kama sijakushushua mpaka hicho kilevi kiyeyuke.....Nani anapata ujiko sasa?........Mi nnao wa kutosha.......... Tena we ndo ntakurusha na kiherehere chako. Subiri nilewe!
Hujaona kesharushwa na Paka Jimmy?........ wewe nakuachia nyamayao, preta, wiselady, firstlady, Husninyo na lilyflower
We umewahi kumuona mlevi akiwa serious kabla hajanywa!!?Mwenzio yuko siriasi Mamiii... Mbona hivyo? Kaungaunga sredi kusudi ausemee moyo wake lol..
Kilevi au kitambi?Jaribu kama sijakushushua mpaka hicho kilevi kiyeyuke.....
FM Academia ndo wanajua kurusha vizuri...bia moja unarushwa hewaniNgoja nianze kuwarusha mmoja baada ya mwingine! Kama Dar Jazz Band...
Kafkiria urefu wa pua yake.ange pm.czani kama angekataliwa.Kumbe ehhhh?!Binafsi sijagundua bado kwahiyo niambie katumia kiasi gani?!
We umeona wapi habari ya kitambi???!Hicho hata kwa pesa siwezi kukiyeyusha!Kilevi au kitambi?
BJ is lack, I am always dream abt this person called himself magulumangu