Hahahahahahahaha...zimefika mpenzithanks Chocs msalimie kaka yangu kipenzi Erickb52 naona kwa wifi wewe amejituliza kwa kweli wewe umekaa muda au wakina Kipipi na Amyner walijipitisha wenyewe??sielewi vile nahisi wewe alikutafuta mwenyewe hukujileta ndio sababu umevuta vuta muda hapao ila kaka angu huyo kuwa naye makini ni penda penda mbaya kaa chonjo chukua chako mapema mpaka jasho lako ulilotolea hapo mida ya usiku lisikunukie heheheheheeheheh
thanks Chocs msalimie kaka yangu kipenzi Erickb52 naona kwa wifi wewe amejituliza kwa kweli wewe umekaa muda au wakina Kipipi na Amyner walijipitisha wenyewe??sielewi vile nahisi wewe alikutafuta mwenyewe hukujileta ndio sababu umevuta vuta muda hapao ila kaka angu huyo kuwa naye makini ni penda penda mbaya kaa chonjo chukua chako mapema mpaka jasho lako ulilotolea hapo mida ya usiku lisikunukie heheheheheeheheh
Mmmmmmmm????? Repeat again plizz
Ni njema dadangu..mzima wewe!??
Ubaya wa birthday za Jumatatu ni u kan't party enough!!!
But da Nivea wherever u @ ...wish u have a blast this day!!!
MOB LOVE.
oooh damn sasas itakuwaje!??
ushanunua swimming costume btw..we got lesson coming!!!!
natafta..nazoom sipati clear image..
hiyo lesson itasubiri sana
Usinfanye nisikitike sasa... #nidanganyedanganye walau...
Oooh u mean yule msanii famous?? I thought ni ile series...so series umepata!??
...Te amor...