Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
Hii thread imefikia mahala kama siielewi hivi!...natumia energy kubwa sana kuisoma
Kwa hiyo solution ni mmoja wenu kujifanya mjinga na kujishusha nadhani inasaidia, lakini wote mkiwa matawi ya juu ni balaa tupu.
Mie bado katotoo...:tape:
hahahah hata mie sina la kusema hapa,:tape:
waache watu na ndoa/experience zao waseme hapa...
ila kama ndoa ziko hivyo kwa mujibu wa baba enock,
then tusio na ndoa we are not missing much,same pattern,same routine..i think life is a bit boring!
i wanna be a mistress to someone,
seems ukiwa nyumba ndogo,life is a bit interesting!!!LOL:bathbaby:
Vipi mkuu... hili sio tusi?
Utoto tu mkuu... akikua ataacha
<br />Wahenga wanasema mafahari wawili hawakai zizi moja.
<br />hujaexprnc ndo mana unasema ivo unavumilia mpk inafka hatua unasarenda!Inaonesha wengi wetu tunashindwa kuelewa kuwa suala la ndoa ni utaratibu uliopangwa na Mwenyezi Mungu. Tujue kwamba mwili wa binadamu umetengenezwa katika mazingira ya kutamani na kuchoka. Mimi nachukulia suala la mapenzi kama chakula. Mtu kama umeshiba utahitaji chakula? Katika ndoa, mwanandoa mmoja anaposema amechoka, basi let him/her to rest, it will come a time when he/she will revive. Tatizo uvumilivu unakuwa haupoooo!!!