Unawatesa kwa kuwa hukuamini. Na hayo mateso lazima yakurudie.Ninafahamu hayo mkuu lakini makosa yanapotokea kama jamii tutayarekebisha vipi. Tusipoliangalia hili wanaoteseka ni watoto wasio na hatia.
Thank you, unakuta una mume hataki kumuona mwanao, mume akiwa safarini ndiyo unaangiza mwanao aletwe, ukisikia anaingiza gari gatini unamwambia mtoto aondoke kwa kupitia mlango wa jikoni ni maisha gani haya hata kama ni pesa.
Kwako? Ili tuichambue mada vizurMkuu tu jaribu kuzingatia mada hapa maisha yangu hayahusiani na mada.
Single mothers wengine wanaona aibu hata kusema kuwa ana mtotoKwa kweli huwezi Sema unanipenda halafu umchukie mwanangu.... Kweli sitakuwa tayari kuolewa niishi mjini na mwanangu alelewe na bibi. Huyo mwanaume atafute tuu mwanamke ambae hajazaa tu...
Hivi kuna watu bado wanafanya huu ubaguzi!? aisee hao single mom before hawajakubali kuanzisha mahusiano na mwanaume mwingine inabidi wadiscuss makuzi ya mtoto wa aliyemkuta na sio mahaba niue..inatakiwa akipenda boga, apende na ua lake.Thank you, unakuta una mume hataki kumuona mwanao, mume akiwa safarini ndiyo unaangiza mwanao aletwe, ukisikia anaingiza gari gatini unamwambia mtoto aondoke kwa kupitia mlango wa jikoni ni maisha gani haya hata kama ni pesa.
Uongee pia na baba mtoto kama kuna mawasiliano kuwa nimepata mtu wa junior na amekubali kumlea mtoto kwahiyo sitaki mawasiliano yeyote na wewe kuanzia sasa yatanivurugia ndoa yanguHivi kuna watu bado wanafanya huu ubaguzi!? aisee hao single mom before hawajakubali kuanzisha mahusiano na mwanaume mwingine inabidi wadiscuss makuzi ya mtoto wa aliyemkuta na sio mahaba niue..inatakiwa akipenda boga, apende na ua lake.
Hilo ndo linalotakiwa,but hivi unajua bibie wanawake wengi hawapend kumove on kutoka kwa mababe dady wao kwa kigezo cha kusema wanataka huduma,yaani wanataka baba jr yeye amuhudumie mtoto atakaye kuwa kwa baba mpya? Hapo ndo wanapoishia kufeli na kuleta migongano.Uongee pia na baba mtoto kama kuna mawasiliano kuwa nimepata mtu wa junior na amekubali kumlea mtoto kwahiyo sitaki mawasiliano yeyote na wewe kuanzia sasa yatanivurugia ndoa yangu
Yaani umuonee aibu mwanao kisa mwanaume tuu... Huo ni umbulula tuuSingle mothers wengine wanaona aibu hata kusema kuwa ana mtoto
Hapo ndiyo makande na mseto vinapoanza fikiria huyo mume mpya angekuwa na uhusiano unaoendelea na mwanamke mwingine ungependa?Hilo ndo linalotakiwa,but hivi unajua bibie wanawake wengi hawapend kumove on kutoka kwa mababe dady wao kwa kigezo cha kusema wanataka huduma,yaani wanataka baba jr yeye amuhudumie mtoto atakaye kuwa kwa baba mpya? Hapo ndo wanapoishia kufeli na kuleta migongano.
Nisingependa haswaa!inatakiwa jamani watu wakishaachana waachane jumla huyo mtoto ukiondoka naye ndo kimoja hamna kuangalia nyuma atamtafuta baba ake akitaka kuoa au kuolewa ukubwani..haahhaHapo ndiyo makande na mseto vinapoanza fikiria huyo mume mpya angekuwa na uhusiano unaoendelea na mwanamke mwingine ungependa?
Mtoto akifika secondary pia anaweza kwenda likizo kwa baba yake lakini sio mambo ya kunipigia simu saa nane usiku kuniuliza hali ya junior wakati mimi ni mke wa mtuNisingependa haswaa!inatakiwa jamani watu wakishaachana waachane jumla huyo mtoto ukiondoka naye ndo kimoja hamna kuangalia nyuma atamtafuta baba ake akitaka kuoa au kuolewa ukubwani..haahha