Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,349
Ni pale unapokutana na mwanaume unamweleza kuwa una mtoto, mwanaume anasema amekupenda lakini hayuko tayari kuishi na mtoto asiye wake. Kwakuwa unahitaji ndoa unampeleka mtoto kwa wazazi wako aishi huko.
Umeolewa na umefanikiwa kupata watoto, wale watoto wako wanamcheka kaka yao kwasababu wazazi wako wanaishi kijijini na mtoto amekulia kijijini, wenzake wanamuona wa bush, wewe unajisikiaje ukiwa kama ndiye binadamu uliyemleta huyu kiumbe duniani?