To ''love'' and ''feel loved''...!

If you set it free you never loved it!!!

Back to reality......

If it’s a broken part, replace it. If it’s a broken arm then brace it. If it’s a broken heart, then face it.
 
AD never wish to FREE her pillow
Thats why she love it

Gossip Qns

Is LOVE = Freedom???

can you live me and my pillow alone ??
hahahahah lol

Yes Love is freedom..
we love coz we want to free mioyo
yetu na akili zetu from pain..

wakati mwingine ends up
worse than before lakini
baada muda ukifikiria na kutafakari
ulijaribu... hicho kitakuachia huru...

lakini kama hukujaribu
utakaa hapo uwaze
labda kama ningefanya hivi
matokeo yangekuwa hivi.....
 
Hapo chacha!!!!
Then it's not yours ...thats why it doesnt want to stay!!

But then the important thing is not to do it just because that thing WANTS you too ...do it only when its neccessary and beneficial to you!!
Why did it come to me on the first place???? lol!!!
 
Back to reality......

If it's a broken part, replace it. If it's a broken arm then brace it. If it's a broken heart, then face it.
Kumbe inawezekana kurusha roho kwa kiingereza? khaaa!
 
Hehehe...haya bwana!!



Yupp yupp....inabidi ukikumbatie kisije kikaenda kuumizwa huko nje!

uchokozi sitaki na kwanza nimeku nunia

nimehangaika hapa kukaanga hii mihogo
nimetwanga chachandu halafu nimekuja kwako
nikaakutaarifu nakuja halafu umeniacha hapo
malangoni na mihogo yangu sikutaki tena ..

taa inawaka ndani na ninasikia makelele yako
lakini hufungui mlango....
 

Heheheh...dearest kwanza tukubaliane utakumbatia ukipendacho kisipigwe na baridi!!

Kwenye kesi ni kwamba mwenyewe natamani sana kuja kula mihogo ila bajaji imenushusha hapa mtaa wa tatu kwahiyo nasubiria daladala!!
Will be there in about half an hr.....ikibidi ntatembea kabisa!!!
 

asante sana BAK kwa kiburudisho..

YES i love you, i love you, i love this song...
 
Reactions: BAK

Hahahaha ni kweli BAK ila ni mpaka hiyo bahati ikudondokee au (ikudondokeage msisitizo) lol
 

:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Daaaah
Umenikuna kweli na mfano wako HALISI my AD
Me love it so much :A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:

Ni wazi kwamba kipindi kile navaa kijeshi kwanza nilijihisi nimevaa OVYO kiasi kwamba sikutegemea wala kuwazia ningeweza kumvutia mdada yeyote. Isitoshe natambua ulivyokuwa unanitoa kwa ufuta, bagia, aiskrimu n.k. Kwa kweli nilijisikia raha sana kutoka na wewe (ulikuwa hujagundua hili).

Mimi nilijua kwamba UNAFURAHIA kunifanyia yote hayo, na inakufanya usikie raha. Sikuwahi kuwazia kwamba ungefurahi mara dufu kama ungepata feedback yangu (PAY BACK). Binafsi hata mimi nilikuwa nasikia raha sana, raha ambayo nilishiindwa kukuonyesha ukaelewa (hukuweza kuelewa MY FEEL of love to you).
Kama ningekuwa SIJA-FEEL your LOVE kwanza nisingeambatana na wewe mara zote hizo, nisingepokea lolote kutoka kwako, ningekuwa nakasirika kwa kila unalonifanyia, ningekuwa nakusema pembeni vibaya.

Hapa nadhani utakuwa umeona kwamba HUKUWEZA KUTAMBUA HISIA ZANGU KWAKO, au pengine majibu yangu ya KIHISIA kwako hayakukufanya utambue kwamba I HAVE FELT YOUR LOVE and i responded thru "being with you everytime" maana sikuwa na uwezo wa kukununulia vitu kama ulivyokuwa unanifanyia.

Naomba nikanushe kwamba SIKUWA NAMFUKUZIA Merry, ila pengine hizo ishara za kummegea ulivyonipa ndio vilikuwa vinakushawishi uone NAMFUKUZIA. Merry nilikuwa nimezoeana nae sana, familia yao na yetu zilikuwa marafiki sana. Nikiendaga kwao nakula vizuri tu, hata yeye akija kwetu. Tulizoeana vibaya niseme lakin hatukuwa tunatakana. Alikuwa ana mpenzi wake.

Hitimisho


Kutambua hisia za mtu kazi sana.
 

hapo kwenye blue
kama ni mto wangu nakubaliana nawe
lakini kama ni binadamu vipi kama ndo kile
kipendo kinacho lalia kipande kimoja..
unaki kumbatia lakini kinataka kukimbia...

nakusubiri hapa nje na mihogo yangu ..
usichelewe basi maana ulicho nitumia
nimebaki hapo nakodelea macho mmmh
maneno yote yalinihama kabisa
 
:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1: Please clarify....

Plse my dear
For deep clarification, PM AD
I cant say more while da responsible madam is around
 

Hehehehe....kweli lakini bora mto unakuwepo popote unapotaka wewe uwepo!!

Mhhh naiona daladala ileeeeee......will be there soon!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…