To be honest, ni wachache sana wanaoukubali utawala huu

To be honest, ni wachache sana wanaoukubali utawala huu

Cha ukucha ulichopiga asubuhi hii nouma, we huna uwezo wa kufatilia kila kona. Kama ungekuwa nao Si ungeutumia huo uwezo Ili wasilalamike.

fanya kazi utasogea kuliko kufatilia kila Kona. We unaweza kuanzisha thread Tu Na kuchonga ngenga.
kama tungetaka kufanya Kaz tusingekazana na kusoma shule tungejiingiza ktk shughuli yyt ilihali tupate chochote kinywani, akin tulisoma ili tupate mcngi wa kufanya Kaz either tulosomea au kujiongeza kulingana na ujira tuupatao kwa Kaz, so kwa huu utawala imeonekana ni tough hata kwa alosoma, ni shiiida.
 
kama tungetaka kufanya Kaz tusingekazana na kusoma shule tungejiingiza ktk shughuli yyt ilihali tupate chochote kinywani, akin tulisoma ili tupate mcngi wa kufanya Kaz either tulosomea au kujiongeza kulingana na ujira tuupatao kwa Kaz, so kwa huu utawala imeonekana ni tough hata kwa alosoma, ni shiiida.
Mimi sijaona ugumu wa maisha maana nategemea mshahara na posho ambazo hazijasimama na sijawahi kuzikosa! Labda waliokuwa na mirija mingine!
 
Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.

Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
kila kona ya wapi?mbona mie hujanifikia?kuandika ukiwa nyuma ya keyboard ni rahisi sana
 
People of Tanzania???? Labda wewe na mkeo aliyekuwa anafaidika na Dili zako but most of Tanzanians are so happy kwa style ya uongozi wa mh Rais,
1: wakulima wameshapelekewa pembejeo,
2: mishahara inapatikana kwa wakati kuanzia 20 mpaka 25.
3: usafirishaji mizigo kwa treni bei rahisi salama na uhakika.
4: Air Tanzania inarudi japo mdogomdogo
5: mfumuko wa bei bado uko chini.
Mfano mzuri bei ya mafuta petrol
6: Bei ya chakula mfano mzuri kilo ya mchele.
7: uwajibikaji kwa watendaji wa na watumishi wa umma.
9:........................
10:.........

Hongera sana Mh Rais endelea na kasi hiyo hiyo. Kwa wenye husda hata ukicheza kwenye maji watasema unawatimulia vumbi.
Acha waisome. Namba.!!
Hon
Aisee ukipita mitaani watu heshima zimepotea kabisa,mbwembwe hamna na huruma utawaonea,utadhani si wao kabla ya serikali ya awamu ya tano.Hii research mleta uzi aliifanyia sinza na kuja ku generalize,hebu piteni mikoani na wilayani mpate comments za wananchi,hutaamini,wananchi wengi wanasema hata kama hela zimeadimika walau kuna kuheshimiana sasa na salamu wanapata.Hata kwa wale ambao ni wa mrengo wa ng'ambo wanasema kichinichini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,ila kaheshima kamerudi ati, tena wengine waziwazi wanasema bila kificho Mhe. Rais kanyaga twende mpaka kieleweke.Haka ni kautafiti kidogo nimekafanya baada ya kusafiri mikoa saba kwa ujasiriamali wangu.Ni mtizamo tu wala haifanyi mtu kuamini nilicho wasilisha.Kujenga status kwenye jamii ni rahisi sana lakini ikipotea kuirudisha ni shidaaaa,lazima kelele kutokosekana,ukiangalia kulia kushoto,nyuma geuka,hamna dili za enzi zile.
 
Nimejaribu kufuatilia kila koma watu wanalalamika tu, ni wakulima,ni watumishi wa umma, ni wafugaji, ni wanafunzi.

Sasa ni swali la kujiuliza, je, na hawa nao walikua mafisadi? Sasa wafugaji,wakulima na wanafunzi nao wana kosa gani mpaka kama mashetani?
Umefuatilia? Ulikuwa ukiuliza swali gani? Wenzio BBC walipata 96% wanampenda, R-squared .9879 hata Netanyahu wala Mandela hawakuwahi kuipata. Utakuwa umetumia method gani tujulishe?
 
Atakutanaje nawe uko maeneo yanayo uzwa gongo na huko hajaja?
Unaweza kuwa hujui hata yanayoendelea kwa ulevi.
Kwani gongo haliuzwi? Na wanywaji wake si watanzania? Nakuuliza wewe mzinifu.
 
Mm mmoja magufuli simkubali na si rais wangu. Nni rais wa watz wacha he
 
you sound kama mangi fulani. usijali sana hata mimi ni mangi. anyway nijuavyo mimi waliokua wanafaidika na mfumo wa upigaji dili rushwa na uzembe serikalini wana hasira ya kuua mtu na serikali ya jpm. hawa ni wachache ila wanapiga kelele kwelikweli. wengi ni wale wanasema wao wanajitambua.
Propaganda za kijinga kabisa sijapata ona failures hawaachi sababu wapiga dili wako wangapi mbona mumeshindwa kutoa takwimu kuna wapiga dili kama ccm na mwenykiti wao
 
Back
Top Bottom