Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
"memkwa" ndiyo nini? Vijike kama wewe mmebakia kulialia na kubwatabwata humu kuhusu mapenzi yenu juu ya Gaddafi wakati wanaume wa kweli are putting their asses on the line every single day in Tripoli. Huoni haya? Kudadeki!
<br />
<br />
Me to I love this man. Long live Colonel Muamar Gaddafi.
Haya uone wewe.
Mimi nitamsapoti Mheshimiwa wa ukweli barani Afrika mpaka pumzi yangu ya mwisho...
Mimi sio muoga na siyumbishwi.
Stop being emotional kama kijike wewe. Wanaume wa kweli huwa wanafanya vitendo siyo kupiga domo tuu. Uende Tripoli ukapigane upande wake kwani mpenzi wako anahitaji sana Wapiganaji hadi kuwalipa mamluki kutoka nchi jirani.
Hata kauli inasaidia kuonyesha kuwa tuko sambamba na muheshimiwa.
Wewe huna la zaidi unalojuwa zaidi ya kutinda nyusi na kusimama barabarani.
Acha tunaoutambua mchango wa Muammal ktk bara hili tumsapoti na kumuombea.
We kachukue kopo ukachambe
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Ni kweli kabsa..Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
| Only known survivor of summary execution carried out by Gaddafi's troops says he had no links to the rebels. Evan Hill in Libya Last Modified: 25 Aug 2011 14:08 |
Kumbe!Hivyo yeye Gadaffi binafsi katuambia wanawe kuwa wakitangaza tu habari hiyo basi tuwajibu ''We know he will not die.''
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
Allah akbar
unafki mbaya sana..!si alikuwa anatoa misaada misikitini mbona allah hamsaidii muda huu anamwacha anakula kichapo ,nimeamini mungu wa gadafi aka allah ni mdhaifu sana !inamaana kazi ya kujenga mosque that gadafi did ,mungu wake aka allah kaona ni ujinga tu na hakumpa thawabu'!poor gadafi !i hate gadafi ,killed my grandpa at kagera war with that fool idi amini!
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
''''''Mkuu jua kwamba habari tofauti tofauti tunazopata kuhusu Libya ni za kupumbaza umma'kama usemi huu unavyo unavyo toa angalizo'''ukitaka kumuua mbwa mpe kwanza jina baya,sasa NATO ndo wanachotumia,vilevile walitumia nguvu ya media kupumbaza fikra za watu kwa kutumia mbinu nyingi sana mfano walipo utangazia umma wamemkamata mtoto wa Gadaf,,,,Jamani ile ni njia ya uporaji na vinginevyo...''Namkubali Gadaf.Wakati wabongo mnamlilia Gadaffi watu wake aliowatawala kwa miaka 42 wanashangilia kuondoka kwake.
Mseveni aliwambia wapinzani wake kuwa kwotapin inaingizwa kwenye baisikeri na nyundo na utolewa na nyundo.