To all good and hardworking men out there

Asipochafuka atajifunzaje?

Ilikuwa mpango Yuda Iskariot awepo ili wokovu utimie. Nilichojifunza ni kukubali mawazo tofauti na kuacha ku-personalize michango.

Binadamu tuna mawazo tofauti sana, na kila mmoja ana mbinu zake za kutetea hoja zake, tuchukuliane. Inafanya jukwaa kuwa na bashasha zaidi na mjadala kuwa mrefu na wa kujenga zaidi, uzuri hakuna ukomo wa michango kusema 'atqtumalizia nafasi ya michango mingine'

Mada: Umekumbusha jambo la msingi, unaweza msaidia spouse wako kuwa mtu bora zaidi, kwa kumpongeza anapofanya vizuri.

Tena hii ndio limbwata namba moja kwa baadhi ya wanamme🙂, kumtia moyo hasa anapokuwa amekwama.

Unaweza shangaa mtu kaolewa na average joe, miaka kadhaa, joe kawa mtamu kuliko mcharo.
 

hahahaha I just like her CONCLUSION.. Dunno what she was really complaining about..
 
BAK Thanks for your reputation comment.. I appreciate that sir
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

You are one in a million women..

sitarajii kama we ni muafrica..na kama ni muafrika basi absolutely we sio mtanzania.....in a rare and next to impossible chance kwamba unaweza ukawa mtanzania..basi u are a God-send
 
You are one in a million women..

sitarajii kama we ni muafrica..na kama ni muafrika basi absolutely we sio mtanzania.....in a rare and next to impossible chance kwamba unaweza ukawa mtanzania..basi u are a God-send

Wewe inaonekana ni mgeni humu JF.

Mbona wapo wanawake smart sana humu? hebu kwa uchache wafuatilie hawa hapa King'asti AshaDii Lizzy utaelewa nasema nini.

Ningewamention wengi ila spelling zao zimenitoka kichwa kimejaa mambo mengi kuliko hata uwezo wake.
 
Last edited by a moderator:
Kwenda Shule sio kuelimika,i do not knw hili Juha lara1 but one thing am sure of is hajitambui na hajaelimika
kama kweli anaishi katika haya maneno anayoyaongea..basi elimu haijamkomboa,ye ndo kaikomboa elimu
 

samahani kama kwa kusema gorgeousmimi is smart nitakuwa nime-imply kwamba wanawake waliobaki wote ni mburura...actually katika muda niliospend JF nimemuona mwanamke mpumbavu mmoja tu...wengine wanaokosea it is just kwamba they are misguided
 


That Michelle is just a repetition of what was said many days ago
 
samahani kama kwa kusema gorgeousmimi is smart nitakuwa nime-imply kwamba wanawake waliobaki wote ni mburura...actually katika muda niliospend JF nimemuona mwanamke mpumbavu mmoja tu...wengine wanaokosea it is just kwamba they are misguided

Umenichekesha sana si vibaya ukimtaja huyo mpumbavu ingawa nahisi namjuwa.
 
hii comment inaondoa credibility ya uzi na mleta uzi......thought ur smart too!!i suppose i was wrong!

depending on what corner you are serving..when pacquiao wins those on myweather corner feels they were wrong to chose that side
 

Talaka yako nimemkabidhi shangazi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…