[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]View attachment 354183uko Kenya.
Sasa jamani umri huo hata kuongea hakawezi huo uchawi kaliutoa wapi?inasikitisha sana.
Nisaidie link yake tafadhaliHuyo dogo nilisoma habar yake kwenye dailymail wazazi walimtelekeza wakisema ni mchaw hivyo wakamwacha mtaan ili afe NA mbaya zaid jamii ya eneo hilo linaamin sana ushirikina hivyo NA wao wakamwacha ajifie....Kwa bahat nzur ndio akatokea Hugo Dada hapo juu ambaye in RAIA wa Denmark akamchukua huyo mtoto NA kumlea NA afya yake ikawa nzur balaa ....Niliona picha zake nyngi tu kwakwel huyo Dada anastahili pongez......Kilichonifurahisha zaid mm ni jinsi huyo Dada alivyovaa ukilinganisha na
kitu alichokifanya kuna cha kujifunza hapo hasa hasa sisi miafrika.....
Siyo kwamba tumenyimwa ila tumeshindwa kutambua umuhimu wake nakuiweka as part of everyday life since childhood. Which is very unfortunate with many Africans is that we work hard to bring each other down instead of supporting. Mtu akija na idea au akileta changamoto yenye kujenga tunatafuta kumkatisha tamaa badala yakumsupport. Imagine wote walioanzisha ideas zakutengeneza vyombo kama ndege, magari, meli nk wangekatishwa tamaa dunia ingekuwaje! There some people who were born to solve others' problems and challenges. We should let them make life easier for us!Walichoweza hawa viumbe ni kimoja tu 'thinking ahead or thinking beyond' kitu ambacho waafrika wengi tumenyimwa
Link sina mkuu maana ni kama miezi sita hiv nyuma.Nisaidie link yake tafadhali
Search,
Home PagePoliticsOpinionsSportsLocalNationalWorldBusinessTechLifestyleEntertainmentCrosswordsVideoPhotographyWashington Post LiveLive ChatsReal EstateCarsJobsWP BrandConnectClassifiedsPartners
washingtonpost.com1996-2016 The Washington PostTerms of ServicePrivacy PolicySubmissions and Discussion PolicyRSS Terms of ServiceAd Choices
Shocking photos of starving ‘witch’ toddler inspire massive donations
By Peter Holley
Yap!Nimeipata kwa mdau![]()