Tn this life....

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
299,233
751,887
f8f0a6bea9054391668f70853ef20366.jpg
 
Binadamu wote ni sawa? Au ni slogan tu ya kujifariji?kwanini huyu na si wewe au mwingine yeyote?
 
kuna mahali nilisoma story ya huyu mtoto alikuwa ametengwa na jamii yake kwa sababu ya imani za kishirikina.
 
ni hao hao wamemfikisha huyo mtoto alipo.....tuamke tutafute siri yao nini...
 
ni hao hao wamemfikisha huyo mtoto alipo.....tuamke tutafute siri yao nini...
Huwa nakuwaga na hisia kwamba hii kabila asili yao sio hapa duniani. hawa kuna mahali wametoka mbali kabisa na dunia yetu
 
Binadamu wote ni sawa? Au ni slogan tu ya kujifariji?kwanini huyu na si wewe au mwingine yeyote?

unakumbuka kisa cha msamaria mwema na mhayudi? ndio binadamu sisi tulivyo, binadamu wote ni sawa kwa kufanana miili hii nyama lakini si kwa matendo.
 
kwenye hii ni power beyond human thinking ndiyo itatutoa.....
Walichoweza hawa viumbe ni kimoja tu 'thinking ahead or thinking beyond' kitu ambacho waafrika wengi tumenyimwa
 
Walichoweza hawa viumbe ni kimoja tu 'thinking ahead or thinking beyond' kitu ambacho waafrika wengi tumenyimwa
Mshana mimi najua mtanipiga madongo, potelea Nairobi: Kama kuna kosa alilifanya Mungu ni kumuumba mwafrika! Angalia anachokifanya Museveni-mawaziri sabini, mtu msomi na akili zake sembuse hawa WATTA, never seen the inside of a civilization class
 
Dahhhh,aseeee ndo maana waislam tunafunga halafu hatujui kwanini tunafunga.
Wengi wetu hawaelewi kwamba unalazmishwa kufunga ili uijue njaa na kiu vikikukamata inakuwaje?!ili siku akija mwenye njaa au kiu usijiulize umsaidie hapohapo.ila ndo kwanza mda wa kufturu tajiri ndo anajifungia kwake machakula mengi kumaliza hamalizi uroho tu umemjaa kesho yanamwaga dampo.ndugu zangu wote hata kama huna dini usiache kamwe kumsaidia mtu mwenye njaa au kiu!mungu atakulipa hata km ww mchawi
 
Mshana mimi najua mtanipiga madongo, potelea Nairobi: Kama kuna kosa alilifanya Mungu ni kumuumba mwafrika! Angalia anachokifanya Museveni-mawaziri sabini, mtu msomi na akili zake sembuse hawa WATTA, never seen the inside of a civilization class
Kwakweli hapa naungana nawe!mimi no mtetezi mkubwa wa ngozi yangu lakini kuna wakati mwafrika habebeki sijui hizi zama zitaisha lini ona hapo Zenji mambo yanavyoharibika...kuna nyakati natamani mambo yangekuwa tofauti
 
Ukiacha watu may be kama Nyerere, Nkurumah na wengine wawili au watatu hivi? mention them, waliobaki Mungu alikosea kuwaumba!
 
Huyo dogo nilisoma habar yake kwenye dailymail wazazi walimtelekeza wakisema ni mchaw hivyo wakamwacha mtaan ili afe NA mbaya zaid jamii ya eneo hilo linaamin sana ushirikina hivyo NA wao wakamwacha ajifie....Kwa bahat nzur ndio akatokea Hugo Dada hapo juu ambaye in RAIA wa Denmark akamchukua huyo mtoto NA kumlea NA afya yake ikawa nzur balaa ....Niliona picha zake nyngi tu kwakwel huyo Dada anastahili pongez......Kilichonifurahisha zaid mm ni jinsi huyo Dada alivyovaa ukilinganisha na
kitu alichokifanya kuna cha kujifunza hapo hasa hasa sisi miafrika.....
 
Kwakweli hapa naungana nawe!mimi no mtetezi mkubwa wa ngozi yangu lakini kuna wakati mwafrika habebeki sijui hizi zama zitaisha lini ona hapo Zenji mambo yanavyoharibika...kuna nyakati natamani mambo yangekuwa tofauti
1465241605983.jpg
uko Kenya.
 
Back
Top Bottom