TLS yaingilia kati sakata la Mbowe

TLS yaingilia kati sakata la Mbowe

"Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.

Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.

Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.

Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.

Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".

Rais wa TLS.
Edward HoseahView attachment 1867618
Dr. Hosea Predident of TLS Tanzania, congratulations and big up!
TLS musi is his hapa, go another mile further....Watz tumechoshwa na utawala huu wa kidikteta chini ya CCM!!!
KATIBA MPYA NI LAXIMA ! HILI SIYO SWALA LA CCM KUAMUA! NI UPUMBAF CCM KUMILIKI MCHAKATO WA KATIBA MPYA ULOKWISHA TUMIA ZAIDI YA TSHS. 270B KODI ZA WATZ!!!
 
"Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.

Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.

Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.

Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.

Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".

Rais wa TLS.
Edward HoseahView attachment 1867618
Jf hatimaye imemuibua Hosea
 
TLS ya sasa imeshakuwa chama cha siasa. Nobody in this country is above the law. Hakuna mtu nchini hapa yuko juu ya sheria. Mbowe ni nani, kuwa mwenyekiti wa chadema ndiyo kimfanye kuwa juu ya sheria? Kama amefanya makosa kwa nini mkondo wa sheria dhidi yake yake usifuatwe kama ambavyo mimi na wewe unavyofuatwa tukifanya makosa ? Mbona mimi na wewe tukituhumiwa kufanya makosa TLS huwa haijitokezi kutoa statement kama hizi.

Mkondo wa sheria unaanza na polisi kwa kutumia intelijensia yao kukuhisi umefanya kosa la jinai. Baada ya hapo kinachofuata ni kukukamata na kukuweka mahabusu. Kinachofuata ni malumbano ya kisheria kuhusu dhamana ya kukutoa mahabusu ili uwe nje ya mahabusu ya polisi wakati mkondo wa sheria unaofuata ukiendelea. TLS bila aibu inaanza kupiga kelele nje ya utaratibu wa mkondo wa sheria kushinikiza polisi wamtoe Mbowe mahabusu na wamfutie mashitaka yote kwani hana hatia kwa maoni yao kama watalaamu wa sheria. Yaani TLS imekuwa sasa ndiyo watoa hukumu kwenye mkondo wa sheria. Edward Hosea aliwahi kuwa mkurugenzi wa takukuru na alikamata watu wengi tu na kuwasweka mahabusu, wengine kwa tuhuma za kubambikizwa, wakiwemo hao mashehe wa Uamusho. TLS haukuweza kumwingilia. Leo bila aibu akiwa sasa ni raisi wa TLS baada ya kutumbuliwa ukurugenzi wa takukuru, anataka kuwazuia polisi kuendelea na mkondo wa sheria dhidi ya Mbowe. Hana mamlaka hayo na akiendelea polisi wana mamlaka ya kumkamata na yeye na kumuunganisha kwenye hiyo kesi ya ugaidi ya Mbowe. Asitake kuvuruga mkondo wa sheria. Let Mbowe play the music which he has chosen to play at his leisure. Mbowe mwenyewe alisjatangaza hataki dhamana ya kutoka mahabusu, ana enjoy kukaa mahabusu hadi mwisho wa kesi yake kwani ndiyo fursa kuu kwake kupata kick ya kisiasa. Anaamini atakapotoka huko atakuwa kama Mandela.Wenzake wakina Heche wamemsaliti kwa kutoka mahabusu kwa dhamana. Ni kwa sababu za usaliti huo wengine wametoka wakina na changamoto ya upumuaji wakiwa wamepata virusi vya corona huko mahabusu. Wangalitilia nyumbani kama masharti ya kuepuka na gonjwa hili yanavyotutaka (stay at home) wangalikuwa salama. Wao kiguu na njia cha kutaka katiba mpya. Badala ya kupata katiba mpya wanapata corona mpya ya delta.
 
"Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.

Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.

Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.

Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.

Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".

Rais wa TLS.
Edward HoseahView attachment 1867618
Mstaafu wa TAKURU kanena
 
Tanzania ni nchi huru na inaongozwa na Utawala wa sheria (Rule of Law) Hakuna aliye juu ya sheria, watu wote wapo sawa mbele ya sheria, mtu yeyote akifanya kosa lolote la kijinai atachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi yake, rangi take au jinsia yake.
Mbowe anatuhumiwa kwa makosa ya Kigaidi yeye na genge lake, ni kinyume cha Utawala wa kisheria kuanza kumtetea Mtuhumiwa/watuhumiwa kabla hata hajafikishwa Mbele ya Mahakama.
Tanzania inaheshimu utawala wa sheria na lazima Mbowe atafikishwa mbele ya Mahakama kujibu tuhuma na bila shaka watapata nafasi ya kujitetea, kinacho fanywa hivi sasa na Viongozi wa chadema ni kujaribu ku "frustrate" mchakato wa kumshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kwa kutumia vyombo vya habari vya kimataifa, wakiamini kuwa Vyombo vya ulinzi vya tz vitaogopa na kurudi nyuma, hilo ndio lengo la chadema hivi sasa. wanaitishia nyau serikali makini!!!
Naamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama havitoingia kwenye mtego wa chadema wanao fanya hivi sasa kamwe vyombo vyetu visitetereshwe wala wasiogope kufuata utawala wa sheria kwa kumhofia Mbowe au hata mtu mwengine.
Utawala wa sheria ni "Hakuna aliye juu ya sheria".
Mbowe hayuko juu ya sheria lazima ashitakiwe na kwa kufanya hivyo ndio kuheshimu na kufuata utawala wa sheria.
 
Eti hakuna ayelijuu ya sheria, Ndugai utamshitaki kwa sheria gani?
 
Mbowe asishitakiwe amekuwa nani ktk nchi hii?!
kama kuna makosa kafanya ni lazima ashitakiwe kwa mujibu wa sheria na huo ndio utawala wa sheria ambao nchi yetu unaufuata. hakuna aliye juu ya sheria.
Mahakama inajukumu la kutueleza kama kweli ana makosa au hana makosa.
kwa wakati huu kuviingilia vyombo vilivyo pewa nguvu za kisheria kufanya kazi zake huko ni kuvuruga kabisa na kutoheshimu utawala utawala wa kisheria.
kama TLS wanataka kumtetea mbowe wanaweza kufanya hivyo pindi pale atakapo fikishwa mahalamani na sio sasa.
 
kama kuna makosa kafanya ni lazima ashitakiwe kwa mujibu wa sheria na huo ndio utawala wa sheria ambao nchi yetu unaufuata. hakuna aliye juu ya sheria.
Juna aliyekataa asistakiwe??

Wananchi wangapi wanawekwa ndani kwa kesi zza kubambikiza mwisho wa siku mnakosa ushahidi??
 
Back
Top Bottom