EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
- Thread starter
- #21
badala yake wangefanyaje?!kumbe huna akili kiwango hiki? ficha upuuzi wakoEty katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Uko darasa la ngapi?Ety katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Hi katiba ya Ndungai inawatesa sana watanzania. Safi sana mwenyekiti imarisheni vijana wajiamini zaidi sio kuogopana na kutishiana."Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.
Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.
Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.
Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.
Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.
Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".
Rais wa TLS.
Edward HoseahView attachment 1867618
Saana acha tukomae ibadilishweHi katiba ya Ndungai inawatesa sana watanzania. Safi sana mwenyekiti imarisheni vijana wajiamini zaidi sio kuogopana na kutishiana.
Hili kundi la kukomoana badala ya kutoa na kujibu hoja watasambaratika tu.
badala yake wangefanyaje?!kumbe huna akili kiwango hiki? ficha upuuzi wako

Mpuuzi ni yule Zulumati NSSF ...kaambulia nini sasa huko alipo...Hawa TLS wapuuzi Sana wameambiwa mbowe amekamatwa kwa kuandaa kongamano,kwani hawajui kuwa walk kamatwa kwa kongamano wameachiwa mbowe amekamatwa kwa ugaidi
USSR
Alisema Nyerere, kwa katiba hii, SIKU TUKIPATA RAIS KICHAA ITAKUWA HATARI...Ety katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Waliomshikilia hawapo mitandaoni na wanajua walipo ni vyema mkaenda kuwaambia na kutaja hivyo vifungu vya sheria"Kufanya kongamano haijawahi kuwa kosa la jinai kwa mujibu wa Katiba na Sheria za nchi.
Katiba yetu ibara ya 21(1) inatoa haki ya kujumuika na ibara ya 13(1) inatoa masharti ya watu wote kuwa sawa mbele ya Sheria.
Kitendo cha kumkamata usiku wa manane Mheshimiwa Freeman Mbowe na wenzake, kwa sababu ya kuandaa kongamano ni ukiukwaji wa Katiba na Sheria za nchi yetu.
Ikiwa kuna tuhuma nyingine dhidi yake bado kwa sheria zetu alipaswa kuwa amefikishwa kwenye mamlaka za kisheria na si kuendelea kuzuiliwa.
Natoa mwito kwa mamlaka kumwachia huru kwa sababu kuendelea kumshikilia ni kukiuka utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa Sheria.
Chama cha Mawakili wa Tanganyika tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu suala hili na tutatoa msimamo wetu na mwelekeo baada ya mashauriano kufanyika kupitia Baraza la Uongozi".
Rais wa TLS.
Edward HoseahView attachment 1867618
Nani kakuambia hawapo?? Wakati wanashinda humu all the timeWaliomshikilia hawapo mitandaoni na wanajua walipo ni vyema mkaenda kuwaambia na kutaja hivyo vifungu vya sheria
Unawadai NSSFMpuuzi ni yule Zulumati NSSF ...kaambulia nini sasa huko alipo...
Kuuliza sivibaya ,kama hujui ulizaEty katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
So is youMbowe analiwa na papasi lockup muda huu
USSR
Kwanini kuna kuwa na Constitution ammandment kila leo bungeni Kama hii haina mapungufu?Ety katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga
Ni jobseeker asiyetambua hali yakekumbe anatembea na bahasha ya khaki??
Lazima ifuatwe maana ndiyo inayotumika.Ety katiba ya sasa imepitwa na wakati halafu bado mnaendelea kufuata kilichoandikwa humo, kama kawaida ukiitwa mpinzani bc kazi yako ni kupinga-pinga