TLS bila Kiongozi mpaka lini?

TLS bila Kiongozi mpaka lini?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?

Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika au inakuwaje?
 
hahaha wachawi wengi,
raisi wao yu mgonjwa mpaka apone
wewe si ndo ulisema harudi leo wala kesho mjaa laana wewe............

updates
###################################################
AMENYANYUKA...
nyinyi mliompiga risasi mmemrahisihia kuwa raisi wa nji hii tutampa kura nyingi kuliko zile za lowasaaaaaaa bila kujali itikadi za vyama vyetu,anzia ccm mpaka chauma TUTAMPA KURA ZA NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Ndugu yangu,Mwanaccm Mwenzangu,Rais wa Nigeria amekaaa muda gani nchi za nje kwa ajili ya maradhi yanayomsumbua??na katiba yao imesemaje juu ya huyo Rais??Je,huyo rais si zaidi ya huyo rais wa TLS tena hata mwaka hajamaliza??

Nadhani cha msingi ni kumuombea apone maana ni mtanzania mwenzetu,ni kama kaka yetu,baba yetu,mjomba wetu n.k na yaliyomkuta hata wewe yanaweza kukupata,hujui siku wala saa.
 
afadhali wewe ndugu una moyo
CCM wenzako ni wamekuwa mashetani kabisa.kwa ajili tu ya madaraka
 
ALIYEPITA mlisema alisafiri sana nje ya nchi mara tezi dume, mara kuomba msaada,mara kuuza sura, mbona hamkutaka tuchague mwingine???

Kwenye hili tena mi naliita SHAMBULIO LA AIBU ndio mnamuhesabia siku MR LISSU???

NI BORA MUHESABU SIKU NGAPI KABLA HAJAWA RAIS WA JMT.....
 
Katiba ya tls inasemaje kuhusu Kiongozi wake anaposhindwa kutimiza majukumu yake kwa sababu za kiafya?

Je, kuna uchaguzi aka uteuzi mwingine utafanyika inakuwaje?

Usihoji katiba ya TLS wengine haituhusu kabisa kiujumla sana,

KWANZA hoji katiba ya JMT inasemaje kuhusu maamuzi ya mahakama kupuuzwa, kuhusu uhuru wa mawazo tofauti,uhuru wa vyama vingi,uhuru wa vyombo vya habari, haki na usawa kwa wote, hivyo ndivyo vinatuhusu watanzania kwa ujumla sana kuliko katiba ya TunduLiSsu
 
Back
Top Bottom