Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,254
- 44,364
sina uhakika naziona jumia kwa 2.1mMkuu naweza Pata LG 49 Inch (UHD) kwa Sh.1,800,000?
Mimi ndio ninayotumia mpaka sasa nilianza na inchi 32, nikaja 42 na sasa nina 55 ,hizo zote haijawahi kunisumbua hata moja picha nzuri, upande wa usb inasoma files karibia zote na pia ina warrant ya mwaka mzima, kiufupi nimeiamini sana maana hapo nyuma nilikuwa mpenzi wa Sony kuanzia Sony wega ya chogo mpaka Bravia lakini kwa upande wa usb sony wamekosea sana maana baadhi ya files hazisomi kabisa kitu kilichofanya niamie upande wa piliJF nzima hamna mtu amewahi kutumia TCL atupe matokeo... kama hamna mtu nayo si dalili kua ni hatari kidogo..
ni smart sio? ina roku?Mimi ndio ninayotumia mpaka sasa nilianza na inchi 32, nikaja 42 na sasa nina 55 ,hizo zote haijawahi kunisumbua hata moja picha nzuri, upande wa usb inasoma files karibia zote na pia ina warrant ya mwaka mzima, kiufupi nimeiamini sana maana hapo nyuma nilikuwa mpenzi wa Sony kuanzia Sony wega ya chogo mpaka Bravia lakini kwa upande wa usb sony wamekosea sana maana baadhi ya files hazisomi kabisa kitu kilichofanya niamie upande wa pili
Price sometimes but not always, determines the quality of the product.Naomba ushauri kwa wenye expirience kutumia TLC tvs ziko vipi zinadumu? na quality yake vp na kama zinausumbifu...
zinaeza kuizidi lg kwa ubora ntashukuru sana.
Hela nyingi sana hio, nenda amazing lifestyle kwa 1.7 wanakuuzia hio tv. Mi nilinunua TCL nchi 49 smart tv na sony home theatre kwa pamoja january mwanzoni vyote kwa 1.8mMkuu naweza Pata LG 49 Inch (UHD) kwa Sh.1,800,000?
Tcl ni Hitachi zamani..
Roku ni nini boss naiskia sana kwe iz TV za TCL...
Hio hio tv ya LG uhd 43" ni 1.3m kwa amazing lifestyle, tembelea page lao instagramsina uhakika naziona jumia kwa 2.1m
lg uhd | Jumia Tanzania
za 43' UHD ndio 1.5m
kuna mhindi mmoja yupo baina ya uhuru na sikukuu mpaka uhuru na livingstone ana LG almost model zote ukipata muda mpitie pale.
TCL yenye roku ntaweza kudowload apps zingine lets say playstore...? nashukuru kwa ku replyRoku ni operating system mkuu, ni kama tunavyosema android na ios kwenye iphone. Roku inakuja kwa kasi kwa kuwa ni mfumo mzuri na rafiki hasa kwa smart tv kwavile ni nyepesi na haitumii memory kubwa kama android tv. Pia inakupa streaming channel nyingi zaidi za free ni wewe na bundle lako tu.
LG ni international brand. TLC ni Chinese product kwa ajili ya AfricaNaomba ushauri kwa wenye expirience kutumia TLC tvs ziko vipi zinadumu? na quality yake vp na kama zinausumbifu...
zinaeza kuizidi lg kwa ubora ntashukuru sana.
Yeah unaweza weka app nyingine ambazo ni streaming channels mbali na zile featured yani utakazozikuta na tv,themes,music streaming channels,cloud content viewers za picha,themes.TCL yenye roku ntaweza kudowload apps zingine lets say playstore...? nashukuru kwa ku reply
Kwa ubora wa picha nzuri zaidi ningeshauri uende na LG.Ukiwa na budget ya 1.3 kama wewe ungenunua TV gani..?
Aminia kaka asante kwa ushauri mzuri.. nautafakar ntaufanyia kazi boss.. nashukuruKwa ubora wa picha nzuri zaidi ningeshauri uende na LG.
Mimi nilikuwa interested na ukubwa wa screen so nimeamua ku sacrifice image quality ingawa haimaanishi kuwa TCL picha yake ni mbaya la hasha, image quality is very good but doesn't compare to LG ila mbali na hilo napata smart features kama youtube,facebook,browser na GO Live channels kama vile ambavyo ningepata kwa LG tu.
kuongezea hapo, hizi os za ughaibuni za TV nyingi hazijatengenezwa kwa ajili ya mataifa kama yetu. vitu vingi utaona havina maana kwako. ila umuhimu wa hizo smart tv ni connectivity. utaweza connect simu yako na tv na kuweza kutumia vitu kama playstore na apps nyengine.TCL yenye roku ntaweza kudowload apps zingine lets say playstore...? nashukuru kwa ku reply