Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,052
- 9,855
Una elimu gan?
mmmh umekuja kuchafua hewa humu, umeacha kudanganya madogo wanaoingia chuo kweny jukwaa la elimu kule umekuja huku kweny watu wenye kazi na wanaotafuta kazi, huku hakukufai, kwanza umesha clear supp yako? Ila we dogo mekusoma unaipenda elimu bt elimu haikupendi, mwisho jamaa kauliza kitu cha muhimu kwamba hajapata info kuhusu hilo tangazo we unamuuliza anaelimu kiasi gani? Jirelebishe na kauli zako!
Mimi sioni kosa lake. Inawezekana alitaka kumtaadharisha kuwa watu wenye masters (second degree) hawatakiwi kuomba hizo kazi.Kipi kibaya? tujulishe. Ila nina wasiwasi kuwa lugha uliyotumia wewe huenda ndiyo itakayo chafua hali ya hewa. Ni mtazamo wangu tu. Stay blessed
mmmh umekuja kuchafua hewa humu, umeacha kudanganya madogo wanaoingia chuo kweny jukwaa la elimu kule umekuja huku kweny watu wenye kazi na wanaotafuta kazi, huku hakukufai, kwanza umesha clear supp yako? Ila we dogo mekusoma unaipenda elimu bt elimu haikupendi, mwisho jamaa kauliza kitu cha muhimu kwamba hajapata info kuhusu hilo tangazo we unamuuliza anaelimu kiasi gani? Jirelebishe na kauli zako!
asanteni wakuu nadhan pale tuandike temporary employee au sijui ID processing....i thnk hawakua specific na title ya kazi...asanten kwa mchango wenu.....
Ndugu naomba unieleweshe kidogo kuhusu wale marefferes ni kinahitajika kutoka kwao i mean ni barua za utambulisho au vp? Na vp kuhusu zle passport 2 ni za kwangu au za hawa marefferes! Plz
passport ni zako, hao refferees wanakuwa kwenye cv, wanachohitaji ni contact zao.
job application but weka reference ya tangazo lao wat if after temp wakikupa permanent utakataa?
check zoom.com mkuu lipo hukotuonesheni basi hilo tangazo
Wenye Taarifa Hebu mnaombwa mchango wa mawazo
no hakutakiwa kuuliza hvyo, coz mtoa maada alitaka kujua title ya kazi, so hii inamaanisha huyu aliyeanzisha topic alisha pata information nyingine so alichokitaka ni heading tu, kweli ndo maana 2nashindwa kuelewa m2 anataka kujua hiki we unamuuliza swali jingine lisilo na mchango kwake, pili huyu muuliza swali kama humjui ni m2 wa dharau sana na wakukatisha tamaa watu. Naomba 2we waelewa c lazima uchangie kitu kama hukifahamu, na umaarufu ndani ya jf hauji kwa kuwekaweka tu michango isiyo na tija, ushauri changia kwa uwezo na ufahamu wako na si kukurupuka tu kuchangia na hasa hili jukwaa la watafuta kazi wengi wapo mtaani na wanategemea kupata ushauri na matangazo ya kazi hapa. Tunaheshimu mchango wa mtu wenye manufaa kwa wana jf hasa wanaoperuzi hili jukwaa. Mwisho tusilifanyie dharau hili jukwaa kwa kujaribu kuleta malumbano humu wakati ndo wengi wetu tusio na fedha za kununulia magazeti tunapata info humu. Tuwe makini