title ya temporary employee ya NHIF ????

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
5,939
9,546
wakuu hebu nisaidieni title ya hiyo temporary employee ya NHIF coz nmetafuta gazet la daily news la tar19 nmekosa....nsaidieni niaaply maana mtaa si mzuri hata kidogo....pliz pliz mwny msaaada
 
Una elimu gan?

mmmh umekuja kuchafua hewa humu, umeacha kudanganya madogo wanaoingia chuo kweny jukwaa la elimu kule umekuja huku kweny watu wenye kazi na wanaotafuta kazi, huku hakukufai, kwanza umesha clear supp yako? Ila we dogo mekusoma unaipenda elimu bt elimu haikupendi, mwisho jamaa kauliza kitu cha muhimu kwamba hajapata info kuhusu hilo tangazo we unamuuliza anaelimu kiasi gani? Jirelebishe na kauli zako!
 
Mimi sioni kosa lake. Inawezekana alitaka kumtaadharisha kuwa watu wenye masters (second degree) hawatakiwi kuomba hizo kazi.Kipi kibaya? tujulishe. Ila nina wasiwasi kuwa lugha uliyotumia wewe huenda ndiyo itakayo chafua hali ya hewa. Ni mtazamo wangu tu. Stay blessed
 
no hakutakiwa kuuliza hvyo, coz mtoa maada alitaka kujua title ya kazi, so hii inamaanisha huyu aliyeanzisha topic alisha pata information nyingine so alichokitaka ni heading tu, kweli ndo maana 2nashindwa kuelewa m2 anataka kujua hiki we unamuuliza swali jingine lisilo na mchango kwake, pili huyu muuliza swali kama humjui ni m2 wa dharau sana na wakukatisha tamaa watu. Naomba 2we waelewa c lazima uchangie kitu kama hukifahamu, na umaarufu ndani ya jf hauji kwa kuwekaweka tu michango isiyo na tija, ushauri changia kwa uwezo na ufahamu wako na si kukurupuka tu kuchangia na hasa hili jukwaa la watafuta kazi wengi wapo mtaani na wanategemea kupata ushauri na matangazo ya kazi hapa. Tunaheshimu mchango wa mtu wenye manufaa kwa wana jf hasa wanaoperuzi hili jukwaa. Mwisho tusilifanyie dharau hili jukwaa kwa kujaribu kuleta malumbano humu wakati ndo wengi wetu tusio na fedha za kununulia magazeti tunapata info humu. Tuwe makini
 
mmmh umekuja kuchafua hewa humu, umeacha kudanganya madogo wanaoingia chuo kweny jukwaa la elimu kule umekuja huku kweny watu wenye kazi na wanaotafuta kazi, huku hakukufai, kwanza umesha clear supp yako? Ila we dogo mekusoma unaipenda elimu bt elimu haikupendi, mwisho jamaa kauliza kitu cha muhimu kwamba hajapata info kuhusu hilo tangazo we unamuuliza anaelimu kiasi gani? Jirelebishe na kauli zako!

we bado hujamzoea huyu kilaza wa UDSM?
 
asanteni wakuu nadhan pale tuandike temporary employee au sijui ID processing....i thnk hawakua specific na title ya kazi...asanten kwa mchango wenu.....
 
Ndugu naomba unieleweshe kidogo kuhusu wale marefferes ni kinahitajika kutoka kwao i mean ni barua za utambulisho au vp? Na vp kuhusu zle passport 2 ni za kwangu au za hawa marefferes! Plz
 
passport ni zako, hao refferees wanakuwa kwenye cv, wanachohitaji ni contact zao.
 
job application but weka reference ya tangazo lao wat if after temp wakikupa permanent utakataa?
 
Wenye Taarifa Hebu mnaombwa mchango wa mawazo

bajeti iimebana ila nina taarifa watu wameanza kupangiwa post.....walimu nao wengi sana siku hizi na wanapanga mikakati ili watu wafike vituoni na kufanya kazi huko huko na sio kwenda na kukaa kidogo thn mtu anarudi mjini....
 
no hakutakiwa kuuliza hvyo, coz mtoa maada alitaka kujua title ya kazi, so hii inamaanisha huyu aliyeanzisha topic alisha pata information nyingine so alichokitaka ni heading tu, kweli ndo maana 2nashindwa kuelewa m2 anataka kujua hiki we unamuuliza swali jingine lisilo na mchango kwake, pili huyu muuliza swali kama humjui ni m2 wa dharau sana na wakukatisha tamaa watu. Naomba 2we waelewa c lazima uchangie kitu kama hukifahamu, na umaarufu ndani ya jf hauji kwa kuwekaweka tu michango isiyo na tija, ushauri changia kwa uwezo na ufahamu wako na si kukurupuka tu kuchangia na hasa hili jukwaa la watafuta kazi wengi wapo mtaani na wanategemea kupata ushauri na matangazo ya kazi hapa. Tunaheshimu mchango wa mtu wenye manufaa kwa wana jf hasa wanaoperuzi hili jukwaa. Mwisho tusilifanyie dharau hili jukwaa kwa kujaribu kuleta malumbano humu wakati ndo wengi wetu tusio na fedha za kununulia magazeti tunapata info humu. Tuwe makini

Upo Sahihi Kabisa Mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom