Titanic sunk by steering mistake, author says

Titanic sunk by steering mistake, author says

...ongezea
-Abiria 1500 walipoteza maisha.

-Yule bibi unayemuona mzeeee ambaye ndiye kama anahadithia, ni kweli alikuwepo na yeye ndo alitoa mwongozo mzima wa maisha yake (maisha aliyoigiza Leonard na Kate) ndio maisha halisi ya yule bibi tangu ndani ya meli mpaka kuokolewa.

-Mwishoni mwa movie hiyo kuna binti anaonekana anamuangalia bibi, yule binti ni mjukuu halisi wa yule bibi (bibi aliokolewa akiwa na mimba ya mama yake na huyu binti(mjukuu). ila mama wa binti huyu alifariki.

Hayo kwa uchache ninayoyafahamu.
Pamoja sana mkuu
 
Mambo mengine huna haja ya kuja kuuliza hapa

Google kwanza then kama hutopata lolote huko kwenye googling ndo uje hapa

Jifunze kutumia Google ipasavyo
 
Dah! yaani unanikumbusha machungu niliyo sahau we acha tu ile siku sitokuja kuisahau maishani.
 
Wakuu heshima yenu...
Leo kwa bahati nimepata nafasi ya kurudia kuangalia hii filamu ya hii meli kubwa iliyozama enzi hizo. Mara ya kwanza niliangalia nikiwa mdogo kiumri! Sasa leo katika kuangalia nimekuwa na maswali machache ambapo ningeomba kusaidiwa majibu yake kwa wenye ufahamu wake. Maswali yenyewe ni
1.Je ni kweli hii meli ilizama kiuhalisia au ni story tu?
2.Je! Kipindi hicho hakukuwa na mawasiliano ya kuja kuokolewa?
3.Je ile Iceberg ilitokea vp katikati ya bahari?
4.Kama ni kweli ilizama ilikuwa miaka gani na watu wangapi walipoyeza maisha ba wangapi waliokolewa!?
5.Je hiyo meli ilikuwa inatoka wapi na kwenda wapi?!

Natambua maswali mengine naweza google but nataka majibu ya hapa ili wafaidike wengi hivyo kama hauna majibu kuwa msomaji tu usilete kejeli hapa na kama kuna mwingine mwenye maswali aongeze hapa ili tupate majibu.

Natanguliza shukranu zangu za dhati.

Hii meli kweli ilikuwepo na ilizama tarehe 15/4/1912 kazikazini ya bahari ya atrantic ikiwa safarini kutokea Bandari ya Southampton UK kuelekea newyork u.s.a ikiwa na jumla ya abiria 2344, wa mataifa mbalimbali,kati ya abiria wote hao ni abiria 703tu ndo waliokolewa wakiwa hai. na kudhibitisha hilo kuna mabaki ya meli hiyo hadi leo yaliyopo chini ya bahari ya atrantic.
 
Siku inazama ndio tulikuwa tumetoka ibadani gholofa ya juu , kulikuwa na kanisa, lakini gholofa ya chini kulikuwa na bar , na cassino la laana, ukiingia uko ni balaa watu wanakulana !!! Nadhani mungu alikerwa hivyo aliizamisha nadhani
 
Wakuu heshima yenu...
Leo kwa bahati nimepata nafasi ya kurudia kuangalia hii filamu ya hii meli kubwa iliyozama enzi hizo. Mara ya kwanza niliangalia nikiwa mdogo kiumri! Sasa leo katika kuangalia nimekuwa na maswali machache ambapo ningeomba kusaidiwa majibu yake kwa wenye ufahamu wake. Maswali yenyewe ni
1.Je ni kweli hii meli ilizama kiuhalisia au ni story tu?
2.Je! Kipindi hicho hakukuwa na mawasiliano ya kuja kuokolewa?
3.Je ile Iceberg ilitokea vp katikati ya bahari?
4.Kama ni kweli ilizama ilikuwa miaka gani na watu wangapi walipoyeza maisha ba wangapi waliokolewa!?
5.Je hiyo meli ilikuwa inatoka wapi na kwenda wapi?!

Natambua maswali mengine naweza google but nataka majibu ya hapa ili wafaidike wengi hivyo kama hauna majibu kuwa msomaji tu usilete kejeli hapa na kama kuna mwingine mwenye maswali aongeze hapa ili tupate majibu.

Natanguliza shukranu zangu za dhati.

Swali la kwanza meli ni kweli ilizama na ilikuja kugunduliwa baada ya madalali kugundua kulikua na jiwe kubwa la dhahabu mali ya benki flani lilizama so walitaka kwenda kulichukua ili wakaliuze ndio wakaona ile picha na kuamua kutangaza kwenye tv kama kuna mtu yeyote aliye hai anayejua kuhusu ile meli ndio wakampata yule bibi
Swali la pili Mawasiliano yalikuwepo ni mfumo wa zamani wa mawasiliano unaitwa MOZE CODE nijui kama nimekosea spelling na wale jamaa walipiga simu kwa meli ya jirani lakini ile meli kwa roho mbaya ya captain ikapita ila baadae ilitafutwa na yule captein alishitakiwa pamoja na mabaharia wake na iyo kampuni.ila kuna meli moja inaitwa MV.cathipalia ilikua inapita mbali sana ilifika eneo la tukio baada ya siku tatu na kufanikiwa kuokoa watu 500 waliojiokoa na mitumbwi ila waliwakuta wananjaa na wamechoka
Swali la tatu ile bahari inatabia ya kuwa na ice berg so enzi hizo hakukua na rada zenye nguvu kuziona so walikua wanatumia watu kukaa juu ya meli na ku spot izo ice berg ila wale jamaa walijisahau wakaja ku shtuka iko kalibu na meli ilikua speed sana kumbuka walikua wanawai sikukuuu ya xmass kawaida haikutakiwa kutembea spidi kali ila kuna matajili wali infuence so capten alikubali shingo upande akaichochea na sababu ya kutembea taratibu ni kwa ajili ya kukwepa izo ice berg.
Swali la nne inasemekana watu 1500 walipoteza maisha na 500 waliokolewa
SWALI la tano meli ilikua inatoka uingereza southapton kwenda marekani na walikua wanawai sikukuu ya xmass nazani nitakua nimekizi KIU yako kidogo kuna mengi sana nimeyaacha hapo
 
Lile barafu lilikuwa la ajabu sana maana mabaharia alivyomfahamisha nahodha kwamba meli ilishatembea km 6300 na sasa imetembea km 30 kukata barafu meli ilikuwa poa sana aina tatizo, na ilikata iceberg kubwa kuliko lile
 
Na kwa nini mpaka leo haijatengenezwa meli nyngne kubwa kama hyo?

Mkuu zipo nyingi tu mfano ni ile MV.COSTA CONCODIA iliyozama kipindi kile ile meli ya wataliano.ile kampuni ina miliki ma cruise ship ya kutosha watu wanakula raha tu baharini huko sema siku hizi ajali chache kutokana na advancement ya technology unajua kuanzia hali ya hewa n rada ziko nzuri so usalama ni 100%
 
Back
Top Bottom