Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,701
- 49,704
Wapambana na rushwa wako wapi?Njoo na laki moja nikuelekeze namna wanavyopatikana kirahisi
Siku hizi wakuu wa vyombo vya ulinzi huwa wanapewa priorities ya kupendekeza watu waende "TEETH" kwahiyo wanachukua watu wa familia zao.Wakuu.
Poleni na ugonjwa huu wa #covid19.Hili nalo litapita tu.Tuzidi kumuomba Mungu na kuchukua tahadhari.
Hawa watu wa intelijensia Tanzania,TISS,wanapataje watu wao? Sababu sijui kama kuna utaratibu wa kujiunga nao moja kwa moja.Kuna mtu aliniambia kuwa wenyewe ndo wanafuata watu na sio watu kuwafuata wao.Kama hiyo nadharia ni ya kweli,wanaangalia vitu au vigezo gani kuwapata watu wanaowahitaji?
Na pia ningependa kufahamu kama wana watu wao nchi zilizoendelea za dunia ya kwanza kama US,UK,Japan n.k.
Tusaidiane ujuzi,Asanteni.
#ChukuaTahadhari.
#StaySafe.
Isije kua wanakusoma kidog kidogo.Wakuu.

CIA wanatafuta zaidi watu wakiwa chuoni.Mbna CIA na FBI wanaportal ya watu kuapply na kufanya mitihan ili mtu awe qualified for the job.
Sema kuna wanaofatwa hasa kwa CIA na ni kwa sababu maalumu. Mfano unafanya kazi katika taasisi flan hata ya TISS wanaweza kukuemploy uwe double spy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana sababu hata humu ni kambi yao😄Isije kua wanakusoma kidog kidogo.
Wanawachukua then wanawatrain si ndio boss?Siku hizi wakuu wa vyombo vya ulinzi huwa wanapewa priorities ya kupendekeza watu waende "TEETH" kwahiyo wanachukua watu wa familia zao.
Ndio mkuu training lazima.Wanawachukua then wanawatrain si ndio boss?
Nan analeta mada hiyo hiyoWe are tired of this.
Kila siku mada hiyo hiyo.
Ukiwa mtumishi wa umma pia ni fursa ya kujiunga nao kama utakosa fursa ukiwa jkt au uraiani.
na hawe ana roho mbaya mno kwa kiasi cha kuyafanya kama yale walioyomfanyia Alphonce Mawazo.Kua member wa Uvccm then utapata connections huko huko.
Shukrani kakaNdio mkuu training lazima.
Ndio mkuu training lazima.
Trainging za kijeshi kwanza then ndio za kiprofesheno.Training za combat au weapon management?🙄
Nop,...Wengine ni ma Quidnunc tu mkuu...We wanna know things eagerlyHizi mada haziishigi humu sijui ndio ukali wa maisha umezidi mje huku kuna mapori mpaka ya kukodisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Trainging za kijeshi kwanza then ndio za kiprofesheno.
Inategemea na field yako,siongei coz labda najua mambo ya TEETH hapana ila kuna kazi za TEETH hazihitaji kujua combat so atafundishwa kulinga na medani yake,kuna nyingine zinahitaji uwe fizikali fiti hapo lazima ujifunze field za kikomandoo!! Kwa mfano shoe shiner au chizi mtaani hahitaji kujua combat yeye ni kukusanya info tu.Hizo za kiprofesheno ndio combat?
Wakuu.