TISS (Usalama Wa Taifa): The best National Intelligence Ever!

Vice versa is true
 
Sahau hilo mzee baba..!! Yani unaweza kuwa usalama na akatumwa usalama mwingine aje kukuchunguza kutoka ofisi hiyo hiyoo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya mambo achaa kijaan
Wakianza kukutilia mashaka nyenendo zako ni lazima wakuchunguze.
 
Wakianza kukutilia mashaka nyenendo zako ni lazima wakchunguze.
Kabisa mkuu...haya mambo sio! siku hizi hata magari watu waoga kuongea kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani balaa kweli maana duuh
 
Kabisa mkuu...haya mambo sio! siku hizi hata magari watu waoga kuongea kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani balaa kweli maana duuh
Pia kuna kuna baadhi ya mission ukipewa wakati unaenda kuzitekeleza wanatumwa agents wengine wakufatilie bila ya wewe kujua.
 
Daah kazi kweli kweli kama ISTO FUKULA INC Haaa SIWAWEZI LAKINI MACHUNGU SANA Looh HEKAHEKA ZENU SAWA narudi kwetu NYUMBANITU KWA NYOKO
 
Kweli ni wasiri sana hao jamàa maana ni watu wasiojulikana
 
Kuna wanaojuana hasa wanaofanya kazi ofisi moja mfano Ofisi ya (DSO na RSO) na penyewe ni kwa uchache tu
 
Ni zile shule za kusomesha ujinga zinazofikiria kuwa "intelijensia" kazi yao ni "kuweka siri".

Kazi za intelijensia siyo "kuweka siri", kazi yao kubwa ni kutafuta siri na kusambaza siri. Kumbuka hilo.

Nnafahamu kwako itakuwa ni zito kulielewa.
 
Ukiona usalama ameweza kuchunguzwa basi hajaiva huyo.. lkn pia unafundishwa namna ya kugundua kama unafuatiliwa au la.. na lazima utumie hiyo knowledge ili kujilinda.. ss ukiona hivyo huyo nae ni boya tu
Kuchunguzwa na raia wa kawaida kama mimi atakuwa kweli hajaiva [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila Kuchunguzwa na usalama wenzake anachunguzika
 
Ni zule shule za kusomesha ujinga zinazofikiria kuwa "intelijensia" kazi yao ni "kuweka siri".

Kazi za intelijensia siyo "kuweka siri", kazi yao kubwa ni kutafuta siri na kusambaza siri. Kumbuka hilo.

Nnafahamu kwako itakuwa ni zito kulielewa.
Hahaa....Hizi siri za Tanganyika naamini ni siri nyepesi nyepesi tu labda za wizi wa kura, majungu, autocracy, ushirikina, na ufisadi! What secrets would the shit hole Tanganyika have!??

Tofauti na taasisi za ujasusi kama CIA zinazofanya ujasusi wa kimataifa, umafia, ujasusi wa teknolojia, ujasusi kwenye taasisi za fedha (IMF, WB), ujasusi wa masoko, propaganda za maradhi na madawa, propaganda za vita na civil wars, propaganda za ugaidi, mapinduzi, nk.

Sasa hii TISS ina siri gani haswa?
 
Kwahiyo TISS ni kali kuko CIA, mkuu acha matusi kijanjajanja hivyo.
 
Hahahahaaa siri za Tiss ni zile za kuteka matajiri nakuwatupa kwemye mifuko ya gunia, wakikamatwa ndio wanasema kuwa ni tiss rejea kisa cha Tajiri Zakaria Yarime.
 
Hahahahaaa siri za Tiss ni zile za kuteka matajiri nakuwatupa kwemye mifuko ya gunia, wakikamatwa ndio wanasema kuwa ni tiss rejea kisa cha Tajiri Zakaria Yarime.

Duuuh kumbe nao waoga sana kwani kulitokea nn kwa huyu tajiri Zakaria? duuh kumbe nilipitwa na uhondo daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…