TISS (Usalama Wa Taifa): The best National Intelligence Ever!

Huwezi wajua wotee...!! Yani Hilo sahau....
Unawajua wote.. na wote lazima mpeleke taarifa ofisini.. ambao huwajui tunaita informers... Lkn watumishi wengine huenda job kama ofisi zingine.. Kila asubuhi kuna kikao cha mkakati au kuelezea kile kilichojiri jana...
Kuna zamu ya kulinda ofisi kila siku mnakabidhiana ofisi nk...
WANAJUANA, WANAJUANA.
 
Ukiwajua wanakuwa siyo tiss kwa sababu kazi yao ni kuwa na usiri ili wachunguze mambo yote kwa usalama wa maisha ya watu na taifa.
Japokuwa siku hizi kuna mabadiliko kidogo kulinda kikundi cha watu spesho cha chama fulani.
 
atakuja na porojo za uwongo. hajui lolote kukusu TISS yule jamaa.
double agent wa TARWA ni mbobezi wa masuala ya intelligence.
Ngoja aje akushukie kama mwewe, mi hua napenda kumsifiaga kwa u much know wake.
 
Unawajua wote.. na wote lazima mpeleke taarifa ofisini.. ambao huwajui tunaita informers... Lkn watumishi wengine huenda job kama ofisi zingine.. Kila asubuhi kuna kikao cha mkakati au kuelezea kile kilichojiri jana...
Kuna zamu ya kulinda ofisi kila siku mnakabidhiana ofisi nk...
WANAJUANA, WANAJUANA.
Uko sahihi mkuu, japo kwenye kujuana hapo si wote, Kuna vitengo nyeti Sana unapewa kazi, lakini Kuna mtu anakuchunguza humjui, zipo scenario kadhaa but siwezi zitolea maelezo hapa maana najua wahusika wapo humu
 
Usiumize akili kwa Mambo yasiyokuhusu mkuu, hata katika halmashauri moja tu watumishi wa idara mfano elimu shule ya kata X na Y hawajuani sembuse kwa watu ambao ofisi zenu haziingiliani kimajukumu na sehemu za ku report mtajuana kweli? Fikiria vyema utapata majibu
 
Uko sahihi mkuu, japo kwenye kujuana hapo si wote, Kuna vitengo nyeti Sana unapewa kazi, lakini Kuna mtu anakuchunguza humjui, zipo scenario kadhaa but siwezi zitolea maelezo hapa maana najua wahusika wapo humu
Lakn sio wale wa ofisi moja afu usimjue... sio kweli.. nasisitiza sio kweli.. TISS katika mikoani huwa na RSO na DSO.. hizi ofisi ndio wanaweza wasijuane.. lakn wale waliochini ya ofisi ya RSO wanajuana vyema.. na wale waliochini ya DSO wanajuana vyema tu... Ni kweli unaweza chunguzwa lkn kwa ishu maalumu.. so uongo kudhania wenyewe wako pale kuchunguzana badala ya kutafuta taarifa mitaani za kiusalama..
Naongea kwa uzoefu wangu..
 
Unawajua wote.. na wote lazima mpeleke taarifa ofisini.. ambao huwajui tunaita informers... Lkn watumishi wengine huenda job kama ofisi zingine.. Kila asubuhi kuna kikao cha mkakati au kuelezea kile kilichojiri jana...
Kuna zamu ya kulinda ofisi kila siku mnakabidhiana ofisi nk...
WANAJUANA, WANAJUANA.
Sahau hilo mzee baba..!! Yani unaweza kuwa usalama na akatumwa usalama mwingine aje kukuchunguza kutoka ofisi hiyo hiyoo... Haya mambo achaa kijaan
 
Ukiona usalama ameweza kuchunguzwa basi hajaiva huyo.. lkn pia unafundishwa namna ya kugundua kama unafuatiliwa au la.. na lazima utumie hiyo knowledge ili kujilinda.. ss ukiona hivyo huyo nae ni boya tu
 
Haya kijana...!!
 
TISS hawana faida kwa maslahi ya taifa ni bora ingefutwa kuliko kumaliza bure hala za walipa kodi

Hizi akili mnaziachaga wapii..mbona unaupumbavu mwingi..
Angalau basi tafuta fafsiri ya neno tiss na umuhimu wao...
 
Sijui umejuaje kuwa nilikuwa nakufatilia kwa makini

Back
Top Bottom