TISS (Usalama Wa Taifa): The best National Intelligence Ever!

Ni ajabu wakati hiyo siyo kazi yao kisheria....katika sheria ya TISS No. 15 ya 1996 Part II, section 5, subsection 2 kinasema; nanukuu:

It shall not be a function of the Service-
(a) to enforce measures for security; or(b) to institute surveillance of any person or category of persons by
reason only of his or their involvement in lawful protest, or dissent
in respect of any matter affecting the Constitution, the laws or
the Government of Tanzania.

Sasa siju ni lugha au?!?!? Hiyo ndiyo kazi yao kubwa sasa!!!

Vice versa is true
 
Sahau hilo mzee baba..!! Yani unaweza kuwa usalama na akatumwa usalama mwingine aje kukuchunguza kutoka ofisi hiyo hiyoo... Haya mambo achaa kijaan
Wakianza kukutilia mashaka nyenendo zako ni lazima wakuchunguze.
 
Wakianza kukutilia mashaka nyenendo zako ni lazima wakchunguze.
Kabisa mkuu...haya mambo sio! siku hizi hata magari watu waoga kuongea kweli Yani balaa kweli maana duuh
 
Pia kuna kuna baadhi ya mission ukipewa wakati unaenda kuzitekeleza wanatumwa agents wengine wakufatilie bila ya wewe kujua.
 
Daah kazi kweli kweli kama ISTO FUKULA INC Haaa SIWAWEZI LAKINI MACHUNGU SANA Looh HEKAHEKA ZENU SAWA narudi kwetu NYUMBANITU KWA NYOKO
 
Moja ya kazi za hizi National Intelligences ni kuweka siri. Lakini mambo ya CIA, MOSAD, KGB na wengineo yapo kila sehemu.

Ila hawa ndugu zetu wa TISS wamejitahidi katika hii section ya kuweka siri....yaani hawana WEBSITE, halawa TWITTER account, hawana FACEBOOK account, na wala hawa OFFICIAL EMAIL.

Hawana PR (public relation person), ingawa Nzoka sijui nani alijaribu kufanya kazi hiyo kile kipindi Dr Wa ukweli alivyokuwa anatafuta Wachakachuaji.

Yaani ukitaka kusikia chochote kuhusu hawa Jamaa, ni lazima uje JF, ambapo pia story nyingi ni story tu na hazina ukweli.

Hata kwenye hii BUDGET sijasikia kipengele kilichotengwa kwa TISS......hivi POSHO zao nao wanakatwa?.....hivi kuna KIKAO cha BUNGE cha kuwadiscuss hawa jamaa.....mwenyekiti wake nani?

Hongereni TISS kwa kuwa Secret Service ya Ukweli.....sio wenzenu CIA information zao zipo nje nje tu kila sehemu.

Wadau mnaonaje?
Kweli ni wasiri sana hao jamàa maana ni watu wasiojulikana
 
Kuna wanaojuana hasa wanaofanya kazi ofisi moja mfano Ofisi ya (DSO na RSO) na penyewe ni kwa uchache tu
 
Moja ya kazi za hizi National Intelligences ni kuweka siri. Lakini mambo ya CIA, MOSAD, KGB na wengineo yapo kila sehemu.

Ila hawa ndugu zetu wa TISS wamejitahidi katika hii section ya kuweka siri....yaani hawana WEBSITE, halawa TWITTER account, hawana FACEBOOK account, na wala hawa OFFICIAL EMAIL.

Hawana PR (public relation person), ingawa Nzoka sijui nani alijaribu kufanya kazi hiyo kile kipindi Dr Wa ukweli alivyokuwa anatafuta Wachakachuaji.

Yaani ukitaka kusikia chochote kuhusu hawa Jamaa, ni lazima uje JF, ambapo pia story nyingi ni story tu na hazina ukweli.

Hata kwenye hii BUDGET sijasikia kipengele kilichotengwa kwa TISS......hivi POSHO zao nao wanakatwa?.....hivi kuna KIKAO cha BUNGE cha kuwadiscuss hawa jamaa.....mwenyekiti wake nani?

Hongereni TISS kwa kuwa Secret Service ya Ukweli.....sio wenzenu CIA information zao zipo nje nje tu kila sehemu.

Wadau mnaonaje?
Ni zile shule za kusomesha ujinga zinazofikiria kuwa "intelijensia" kazi yao ni "kuweka siri".

Kazi za intelijensia siyo "kuweka siri", kazi yao kubwa ni kutafuta siri na kusambaza siri. Kumbuka hilo.

Nnafahamu kwako itakuwa ni zito kulielewa.
 
Ukiona usalama ameweza kuchunguzwa basi hajaiva huyo.. lkn pia unafundishwa namna ya kugundua kama unafuatiliwa au la.. na lazima utumie hiyo knowledge ili kujilinda.. ss ukiona hivyo huyo nae ni boya tu
Kuchunguzwa na raia wa kawaida kama mimi atakuwa kweli hajaiva ila Kuchunguzwa na usalama wenzake anachunguzika
 
Ni zule shule za kusomesha ujinga zinazofikiria kuwa "intelijensia" kazi yao ni "kuweka siri".

Kazi za intelijensia siyo "kuweka siri", kazi yao kubwa ni kutafuta siri na kusambaza siri. Kumbuka hilo.

Nnafahamu kwako itakuwa ni zito kulielewa.
Hahaa....Hizi siri za Tanganyika naamini ni siri nyepesi nyepesi tu labda za wizi wa kura, majungu, autocracy, ushirikina, na ufisadi! What secrets would the shit hole Tanganyika have!??

Tofauti na taasisi za ujasusi kama CIA zinazofanya ujasusi wa kimataifa, umafia, ujasusi wa teknolojia, ujasusi kwenye taasisi za fedha (IMF, WB), ujasusi wa masoko, propaganda za maradhi na madawa, propaganda za vita na civil wars, propaganda za ugaidi, mapinduzi, nk.

Sasa hii TISS ina siri gani haswa?
 
Moja ya kazi za hizi National Intelligences ni kuweka siri. Lakini mambo ya CIA, MOSAD, KGB na wengineo yapo kila sehemu.

Ila hawa ndugu zetu wa TISS wamejitahidi katika hii section ya kuweka siri....yaani hawana WEBSITE, halawa TWITTER account, hawana FACEBOOK account, na wala hawa OFFICIAL EMAIL.

Hawana PR (public relation person), ingawa Nzoka sijui nani alijaribu kufanya kazi hiyo kile kipindi Dr Wa ukweli alivyokuwa anatafuta Wachakachuaji.

Yaani ukitaka kusikia chochote kuhusu hawa Jamaa, ni lazima uje JF, ambapo pia story nyingi ni story tu na hazina ukweli.

Hata kwenye hii BUDGET sijasikia kipengele kilichotengwa kwa TISS......hivi POSHO zao nao wanakatwa?.....hivi kuna KIKAO cha BUNGE cha kuwadiscuss hawa jamaa.....mwenyekiti wake nani?

Hongereni TISS kwa kuwa Secret Service ya Ukweli.....sio wenzenu CIA information zao zipo nje nje tu kila sehemu.

Wadau mnaonaje?
Kwahiyo TISS ni kali kuko CIA, mkuu acha matusi kijanjajanja hivyo.
 
Hahaa....Hizi siri za Tanganyika naamini ni siri nyepesi nyepesi tu labda za wizi wa kura, majungu, autocracy, ushirikina, na ufisadi! What secrets would the shit hole Tanganyika have!??

Tofauti na taasisi za ujasusi kama CIA zinazofanya ujasusi wa kimataifa, umafia, ujasusi wa teknolojia, ujasusi kwenye taasisi za fedha (IMF, WB), ujasusi wa masoko, propaganda za maradhi na madawa, propaganda za vita na civil wars, propaganda za ugaidi, mapinduzi, nk.

Sasa hii TISS ina siri gani haswa?
Hahahahaaa siri za Tiss ni zile za kuteka matajiri nakuwatupa kwemye mifuko ya gunia, wakikamatwa ndio wanasema kuwa ni tiss rejea kisa cha Tajiri Zakaria Yarime.
 
Duuuh kumbe nao waoga sana kwani kulitokea nn kwa huyu tajiri Zakaria? duuh kumbe nilipitwa na uhondo daaah
 
Back
Top Bottom