Mkuu, information za CIA, Mossad na wengineo, ambao unafikiri zipo nje nje, Ni zile tu ambazo mashirika hayo yanataka wewe ufahamu kwa manufaa ya mashirika hayo. Ni habari ambazo zinatolewa na kudhibitiwa na vitengo vya "disinformation and misinformation". Kwa hiyo hapo ni kwamba TISS hawajafanikiwa kwenye hivyo vitengo kama ambavyo wanashindwa hata kufanya economic and technological espionage. Hamna haja ya kuwasifia.
P.S: mi sio usalama wa taifa.....ni mtazamo tu!
Ni ajabu wakati hiyo siyo kazi yao kisheria....katika sheria ya TISS No. 15 ya 1996 Part II, section 5, subsection 2 kinasema; nanukuu:
It shall not be a function of the Service-
(a) to enforce measures for security; or(b) to institute surveillance of any person or category of persons by
reason only of his or their involvement in lawful protest, or dissent
in respect of any matter affecting the Constitution, the laws or
the Government of Tanzania.
Sasa siju ni lugha au?!?!? Hiyo ndiyo kazi yao kubwa sasa!!!
TISS kazi yao ni kuweka siri ya jinsi nchi inavyotafunwa na wachache.....na pia kazi yao kubwa siku hizi ni kutafuta na kuwaharass wote wanaoisema vibaya serikali ya muheshimiwa au wanaomsema vibaya muheshimiwa na pia wanaoingilia anga za muheshimiwa.
Mataifa yaliondelea, vyombo vyao kama TISS wala haviko tena kwenye zama za usiri ebu cheki websites zao hapa (hadi kuna sections za ajira!!!)
https://www.cia.gov/
http://www.fsb.ru/ (hii ni ya Russia; KGB ilikua dissolved mwaka 1994 au 1995)
https://www.sis.gov.uk/ (hii ni ya UK; yaani hadi wameweka picha ya bosi wao!!!)
www.mossad.gov.il (hii ni ya Israel)
Hapa kwetu TISS ni kizungumkuti!! Kazi zenyewe za kupeana...baba, watoto, wajukuu, wajomba.................
Unadhani waliwezaje kumkamata/kumuua Usama?
Hivi kuna usalama wa taifa tanzania au kiini macho tu?
au kazi yao kumlinda JK pekee huku wakiacha makaburu na wazungu wengine wakisafirisha madini yetu usiku wa manane,
wakiacha wanyama wetu wanaibwa usiku.kazi yao nn sasa au tuseme polisi ndio kila kitu?
Nadhani hii sekta ingefungwa wanatumia garama na kodi zetu bure sioni cha maana kwao.
Tujiulize ile kashfa ya kutumika kuchakachua kura wamejisafisha??Mi nlidhani kazi yao ni kulinda sii usalama wa siasa tu pia kulinda uchumi wetu na vyanzo vyake kwa ujumla,kuzuia mikataba feki nk....KAMA YUPO HAPA AJITOKEZE AKANUSHE HAYA.
ina usiri,lakin mbona wanapigwa bao na mafisadi?moja ya kazi yao ni kuhakikisha ubadhilifu hakuna.....lakini wao wamelala........nadhan kazi yao kuuuuubwa ni kumlinda jkTISS = Taasisi Iliyo Siri Sana
Mkuu, information za CIA, Mossad na wengineo, ambao unafikiri zipo nje nje, Ni zile tu ambazo mashirika hayo yanataka wewe ufahamu kwa manufaa ya mashirika hayo. Ni habari ambazo zinatolewa na kudhibitiwa na vitengo vya "disinformation and misinformation". Kwa hiyo hapo ni kwamba TISS hawajafanikiwa kwenye hivyo vitengo kama ambavyo wanashindwa hata kufanya economic and technological espionage. Hamna haja ya kuwasifia.
Jamani Usalama Wa Taifa sio Polisi na wala sio Mahakama...kuna mtu kapost document huko juu ambayo inaelezea kazi za TISS, ingekuwa vyema muisome.
Kama wanyama wameibiwa, ni kazi ya polisi kukamata wezi. Kama watu wanakula rushwa ni kazi ya PCCB kuwakamata na kuwapeleka mahakamani.
Ila kama kuna watu wamejaribu kupindua nchi au kuanzisha vita wakafanikiwa, then hilo ni swala ka TISS....au kama kuna watu wamewahi kumKennedy rais wa Tanzania then hiyo ni issue ya TISS
Haaaaaa, mkuu umenifurahisha Sana unaposema kila TISS humjui na sura zao Ni ngeni kwako, vyote hivyo jawabu katika maswali yako....miiko ya kazi na adhabu ndizo chanzo Cha usiri,...Kumekucha !
TISS ni taasisi nyeti ya serikali na ina usiri mkubwa sana. Huwezi jua , huwezi sikia mtu akibwabwaja hovyo , si kwa rafiki yake wa karibu , si kwa mwenzi wake , si kwa ndugu wala jamaa zake.
Wengi huwa tunahisi tu " yule jamaa yupo TISS , huenda yupo TISS ". Ni ngumu sana mtu kukueleza wazi kwamba yupo kitengo fulani , ngumu. Watu feki ndo hujitangaza , lakini si wale wenyewe.
SWALI
Usiri mkubwa walionao ni kwasababu wana mafunzo mahiri au wanaogopa kubwabwaja wakijua adhabu yake iliyopo ?
Kiukweli mm sijawahi muona mtu aliye TISS ninayemfahamu.
Wanatoka humuhumu TZ au wameletwa toka nchi za jirani ? Maana sura zote huwa mpya machoni mwangu.
Nawasilisha.
Wale wa kutoka wilaya moja mnajuana tu.... ni kama walimu wa Ilala ni ngumu kumjua wa Kinondoni.. TATIZO TUNAKAZA UBONGO SANA...Haaaaaa, mkuu umenifurahisha Sana unaposema kila TISS humjui na sura zao Ni ngeni kwako, vyote hivyo jawabu katika maswali yako....miiko ya kazi na adhabu ndizo chanzo Cha usiri,...
"Kumbuka hata wao wenyewe hawajuani isipokuwa pale inapowabidi"
Huwezi wajua wotee...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani Hilo sahau....Wale wa kutoka wilaya moja mnajuana tu.... ni kama walimu wa Ilala ni ngumu kumjua wa Kinondoni.. TATIZO TUNAKAZA UBONGO SANA...