Tishio la mlipua mabomu Ilala, Dar es Salaam

Inadaiwa alifatiliwa tokea wizarani.akimsubiri mkurugenzi.ni mmama kagoma kutoka.na mabegi yake yanahofiwa kuwa kwani sensor inalia
 
ffu wamemtoa kwa mwonekano ni mwanamke,kavaa hijbu kajikandika malipustic na mawanja na mabegi mawili.anaonekana hana wasiwasi.wanadai muuza nguo,alimsubiri mkurugenzi masaa 3.askari wengine ofisi ya mkuu wa mkoa.
 
miaka ya nyuma nilikuwa na mawazo kama yako, ila kuna mmarekani flan hivi ashawahi hukumiwa kifo kwa kosa la kulipua jengo flan huko Oklahoma!!jamaa ashawahi sema hakubaliani na sera za kibabe za nchi yake ndio maana akachukua huo uamuzi...

Nilichojifunza hapo ni haya mazingira kandamizi yaliyopo kwenye nchi husika ndio huwa yanapelekea hayo matukio!!
na kwa jinsi nchi yetu ilivyo kwa sasa, sitashangaa kusikia mTZ kajilipua kwenye jengo flan, tunatofautiana uvumilivu tu jirani yangu...mda huu natype hii kitu kuna watu kabati lao la uvumilivu limeshajaa, m2 kama huyo yuko tayari kufanya lolote....i&i
 
Inadaiwa alifatiliwa tokea wizarani.akimsubiri mkurugenzi.ni mmama kagoma kutoka.na mabegi yake yanahofiwa kuwa kwani sensor inalia

hana mabomu..na hakuwa tayari kujilipua.....huwezi kutoka huko ukiwa na nia hiyo then ukafika eneo la tukio ukakaa masaa 3 huku sensor inalia....hana mabomu huyo hueda anafatilai madeni yake tu kwa mtu
 
Polisi wote wameondoka na kuwaamuru hawa staff wa local authority kuendelea na kazi.hawajatoa taariya yoyote.waandishi wa habari wameelezwa kwenda ofisi ya kova kwa taarifa ya tukio hilo
 
mkuu hii kitu sio ya kubeza...
miaka ya nyuma nilikuwa na mawazo kama yako, ila kuna mmarekani flan hivi ashawahi hukumiwa kifo kwa kosa la kulipua jengo flan huko Oklahoma!!jamaa ashawahi sema hakubaliani na sera za kibabe za nchi yake ndio maana akachukua huo uamuzi...

nilichojifunza hapo ni haya mazingira kandamizi yaliyopo kwenye nchi husika ndio huwa yanapelekea hayo matukio!!
na kwa jinsi nchi yetu ilivyo kwa sasa, sitashangaa kusikia mTZ kajilipua kwenye jengo flan, tunatofautiana uvumilivu tu jirani yangu...mda huu natype hii kitu kuna watu kabati lao la uvumilivu limeshajaa, m2 kama huyo yuko tayari kufanya lolote....i&i

Kuna wengine wameihusisha na operesheni kamata kamata wrong parking,machinga na migogoro ya viwanja
 
Labda kisimu cha mchina ndani begi bhana, vipi BAKWATA watatoa tamko kuhusu hilo? yaani hijabu kuvaliwa na mwanamme na kutaka kujilipua? au hadhalilishi uislam hapo? hadi iwe Igunga kwa mwizi wa Kura? haya bhana

tusiache mijadala ya kukomboa na kuanza kutetea dini zetu.
dini zetu nyingi ndizo zinaotofanya tuoekane wajinga.
ikiwezekana tuzipuuze.

kama anataka kulipua, asijaribu kulipua maskini wa tanzania, nampa go ahead kulipua maeneo nyeti kama ikulu na ofisi za serikali zilizokithiri kwa ufisadi mfano hazina, bot, wizara ya fedha, wizara ya nishati na madini, wizara ya maliasili. wafanyakazi wa hizo ofisi wafe wote ispokuwa wale wanaopata mishahara ya kima cha chini tu
 
hapo kwenye bold, una maana anafaa walau kufungia vitumbua. sio useless kiviile

eleza kwa nn isiwe wewe.

1. huna kazi yoyote humu duniani
2. upo upo tu kama gazeti la juzi
3. hakuna utakachoacha wala hakuna wa kukukosa!!
 
kuna wengine wameihusisha na operesheni kamata kamata wrong parking,machinga na migogoro ya viwanja

Bei Mbaya icheck hiyo kwenye red, ni mbaya balaa...
ishu ya ardhi imekaa vibaya, kuna tukio flan lishawahi tokea huku pande za maskan!!kulikuwa na mzee alikuwa anafanyia jiji, allikuwa na tabia ya kudhulumu watu viwanja nasikia wadhulumiwa walimpiga kiberiti nyumbani kwake mzee alipoteza maisha na member wengine wa3 wa hiyo familia!!
hiyo migogoro mkuu wala usiifikirie kabisa ikutokee....i&i man
 
kulikuwa na mzee alikuwa anafanyia jiji, allikuwa na tabia ya kudhulumu watu viwanja nasikia wadhulumiwa walimpiga kiberiti nyumbani kwake mzee alipoteza maisha na member wengine wa3 wa hiyo familia!!
hiyo migogoro mkuu wala usiifikirie kabisa ikutokee....i&i man

Tunakuomba kituo cha polisi usaidie ushahidi maana tulikuwa tunawatafuta wenye hizi taarifa.
 
Back
Top Bottom