Tishio la mlipua mabomu Ilala, Dar es Salaam

Tishio la mlipua mabomu Ilala, Dar es Salaam

it seems no one is sure of this news so it's better to stop commenting if you know nothing!
 
Nawatamani sana hao watu. Wakimaliza waje na huku kwetu Temeke.
 
Hakuna taarifa rasmi iliyotolewa juu ya hilo tukio?

Taarifa ya habari ya channel 10 ya saa 1 wameirusha hii habari, ila polisi wamekataa kulizungumzia hilo tukio kwa madai ya ripota wao
 
Mhm bongo nayo ishageuka libya..???? wadau tupen full story.............. imekuwaje tena
 
Askari hao wako kwenye mazoezi ya miaka 50 ya maendeleo duni ya Tz.Mbona wasimshke walipo mwona?
 
Back
Top Bottom