Mafwele ni kiboko ya hao jwtzIla kiukweli Mafwele ni kidume dhidi ya majeshi yote...nimeamini kwa dhati kabisa
kawaida yenu hiyo wauwaji hata maandamano mlikua mkiamini watanzania hawawezi kuingia barabarani nyie tulieni muda utaongea anzeni kuficha familia na uzao wenu laasivyo mtakua mnawaokota dailyNaangalia mitandaoni naona kuna mtu kavaa musk kajirekodi sijui wameanzisha kikundi cha Uasi nikajiuliza huyu anaifahamu Tanzania Vizuri??
Kikundi cha Uasi Tanzania??? Nawaambia hata siku mbili hakitachukua JWTZ ndo wakali wa hizo mambo hivi hamjiulizi Taangu tupate Uhuru kwanini vikundi hivyo havipo Tanzania?
Ila vijana ability ya kufanya reasoning imepungua sana haya ni kama ya Habil na Kabil Captain Tesha, na Cornel Agustino Polepole.
Captain Tesha alikua ni muumini wa Kanisa la Gwajima tuu. Akina Habil na Kabil kama mnavyojua
Akatokea Mlevi mmoja anaitwa Agustino Polepole mpaka sasa naona mmeshamfahamu mwaka ndo kwanza unaanza tutasikia mengi.
Kwa Tanzania Mazingira hayaruhusu ku operate vikundi vya uasi usifananishe Tanzania na Burundi na DR Congo???
Endeleeni Kuota.
Sanaa!! Bakabaka wenyewe wanamjua huyo mwamba,wanasaluti kwake.. Captain Tesha kabinywa kende namna fyokofyoko, na wale wajeda waliochana picha ya Rais sasaivi na kazi hawana na torturing walipata... according to speech of mr Mafwele,from audio clip..ZCO matata kabisa kuwahi kutokea mi naona wangempandisha awe DCI jamaa ni Nguli wa Intelligence
Jamaa kalifanya jeshi la police kuwa la kibabe...nilimsikiliza speech yake anasema tumewakamata pia Askari wa ulinzi wawili kwa kuchana picha ya Rais, na yule muhuni captain Tesha,akamalizia hao wote kifuatacho ITV.....Mafwele ni kiboko ya hao jwtz
Hata mwenezi hapewi hiyoMalipo sasa hivi kwa mwezi 3m siyo buku 7 tena
Wakuwakamata nani?? Hio ni vita damu lazima zimwagike polisi na vijana wenye hasiraKazi wanayo kesi ya Mauaji imenyooka
Ya Oct 29 au? Hahaha kesi hio muuaji mkuu ni raisi wakuwekwa SSHWe endelea kuwa karibu na media kesi ya mauaji hiyo!
Mharifu gani hana silaha tena wanakutwa nyumbani kama sio usenge ni nini? Hizo samu lazima mzilipie mbwa nyieWale wahalifu walikua wanashughulikiwa
No huyu alikuwa Askari Jeshi kabisaCaptain Tesha alikua ni muumini wa Kanisa la Gwajima tuu
😀😀😀😀 overrated sanami naona wangempandisha awe DCI jamaa ni Nguli wa Intelligence
Siongelei rumours au story za kusadikika ndugu.Jeshi lipi? Muimba kwaya wa gwajima