Kwani makuburi ya waliouliwa yako wapi au wameliwa nyama?Jitoe ufahamu
YESU alikufa liniHata Yesu alikufa kwa ajili ya kuwakomboa nyumbu kama nyinyi🚮
Una mawazo ya kizamani mno!Wakati huo wewe upo kwenye apartment au nyumbani kwako upo na Laptop yako,simu na router ukiwa unahamasisha vijana waandanane kudai haki yao.😂😂
Unasifia ushindi wa Mdude Nyagali,Deusdedith Soka na wengine wengi huku wewe ukijificha.
Mna dhambi sana.
Kuna siku mwanangu aliniuliza kuhusu mustakabali wa nchi na namna gani tunahitaji mabadiliko.huku akiniletea ugeniziiii.
Nikamwambia ,ni kweli nchi inahitaji reforms lakini anayepaswa kuleta Mabadiliko ni mzalendo wa kweli na si Yule anayetaka madaraka.
Mtu anayetaka madaraka akipewa nchi anaweza kuwarudisha nyuma hatua zaidi ya 20.
ok.🐒Kuna tishio la kiusalama kuelekea tarehe 29/10/2026
TAARIFA kutoka makumbusho zinaeleza
Wanapanga tuweka lockdown once again
Wewe mwenye Mawazo ya kisasa umefanya nini zaidi ya kuleta maandishi yasiyotekelezekaUna mawazo ya kizamani mno!
Unatamani kujua mambo mengi na uwe na info za ndani, ila hamna unachojua.Hakuna kitu kama hicho!!hakuna mwenye uwezo wa kuichezea jamuhuri!!
Kila kitu kipo,kimepangwa na hutekelezwa kwa wakati!hakuna jambo linalotolea kisiasa au kiusalama by surprise labda tetemeko la ardhi au upepo!
Yote yanatokea kwa sababu maalum!hakunaga bahati mbaya!!
Usitishe watu,kaa kwako kwa amani usilete vurugu
Hata wewe ni mzazi!!Wakati huo wewe upo kwenye apartment au nyumbani kwako upo na Laptop yako,simu na router ukiwa unahamasisha vijana waandanane kudai haki yao.😂😂
Unasifia ushindi wa Mdude Nyagali,Deusdedith Soka na wengine wengi huku wewe ukijificha.
Mna dhambi sana.
Kuna siku mwanangu aliniuliza kuhusu mustakabali wa nchi na namna gani tunahitaji mabadiliko.huku akiniletea ugeniziiii.
Nikamwambia ,ni kweli nchi inahitaji reforms lakini anayepaswa kuleta Mabadiliko ni mzalendo wa kweli na si Yule anayetaka madaraka.
Mtu anayetaka madaraka akipewa nchi anaweza kuwarudisha nyuma hatua zaidi ya 20.
hawezi kuelewa tunaoelewa tunaelewaKwenye siasa ushindi si kama ule wa soka
Siyo tu ni mzazi kutokana na Mimi kuwa handsome nimepata mtoto wa Kwanza nikiwa na miaka 17 hadi sasa ni watoto 32 , ukiona nakukera kunywa sumuHata wewe ni mzazi!!
Kazi ipo
Hapo tu kwenye "handsome" umejibu wasiwasi wangu.Siyo tu ni mzazi kutokana na Mimi kuwa handsome nimepata mtoto wa Kwanza nikiwa na miaka 17 hadi sasa ni watoto 32 , ukiona nakukera kunywa sumu
Kwenye siasa ushindi si kama ule wa soka
Nafahamu wasiwasi wako ila haiondoi ukweli huna hojaHapo tu kwenye "handsome" umejibu wasiwasi wangu.
Halafu yeye ana Andamana mtandaoni huku anasubiri malipo kutoka njeUnawatoa watu kafara unaita ushindi?
Hata usinijali Mkuu,tumesha malizanaNafahamu wasiwasi wako ila haiondoi ukweli huna hoja
SawaHata usinijali Mkuu,tumesha malizana
Kamuambie mama ako!Toa pua yako Andamana
Ni kiswahili , unaweza kwenda kurudia kusoma upyaLabda inawezekana sijaelewa, naomba kueleweshwa..
ndani ya viunga vya Sanaa-Yemeni..