Tetesi: Tishio la kiusalama kuelekea 29 October 2026

Tetesi: Tishio la kiusalama kuelekea 29 October 2026

Kwamba watu wakifa na kuumia inakuwa ushindi kwa wananchi??. Labda sijaelewa.

Yaani binadamu wa Mbagala/Temeke/Fukayosi/Sukamahela/Paramawe/Mwakaleli/Iyunga nk akifa,akiumia na kupata mateso ni ushindi kwa wananchi??..

Ndani ya viunga vya Sanaa - Yemeni.
Kwa hiyo hata Yesu aliyekufa kwa ajili ya nyumbu kama nyie ni fala eti??
 
Kwenye siasa ushindi si kama ule wa soka
Wakati huo wewe upo kwenye apartment au nyumbani kwako upo na Laptop yako,simu na router ukiwa unahamasisha vijana waandanane kudai haki yao.😂😂

Unasifia ushindi wa Mdude Nyagali,Deusdedith Soka na wengine wengi huku wewe ukijificha.
Mna dhambi sana.

Kuna siku mwanangu aliniuliza kuhusu mustakabali wa nchi na namna gani tunahitaji mabadiliko.huku akiniletea ugeniziiii.

Nikamwambia ,ni kweli nchi inahitaji reforms lakini anayepaswa kuleta Mabadiliko ni mzalendo wa kweli na si Yule anayetaka madaraka.

Mtu anayetaka madaraka akipewa nchi anaweza kuwarudisha nyuma hatua zaidi ya 20.
 
Back
Top Bottom