chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,725
- 31,305
Chadema wameitisha kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama hicho. Moja ya malalamiko ya G55 ilikuwa kwamba viongozi wanafanya ziara za kukusanya posho na hawaitishi kikao cha kamati kuu kujadili kesi ya Lissu.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao kimeitwa ghafla.
Naona baada ya Chama Kikuu cha upinzani-Chaumma kupata kwa umaarufu, kikao kimeitwa ghafla.